TOFAUTI YA MSICHANA NA MVULANA KWENYE MAHUSIANO YA KIMAPENZI . SOMA HAPA KUJUA TOFAUTI HIZO
WEKA TANGAZO
WEKA TANGAZO
Kila
kunakokucha watu wanalalama kuwa siku hizi mapenzi hayan maana but ni
kwa sababu wameshau kuwa kati ya mwanaume ( mvulana ) na mwanamke (
msichana) wanatofauti kubwa kati yao, tofauti hizo ni kama zifuatavyo
1.
Mvulana anapomwona msichana kwa mara ya kwanza anamtamani na
kumtathmini kama kweli anaweza kumfaa kwa matamanio yake mfano je ni
mrembo, akitoka naye out atauza, je anamajivuno ama yupo kawaida, WAKATI
msichana anapomuona mvulana kwa mara ya kwanza anamjaji kwa muonekano
wake, mfano je huyu ana pesa, ana usafiri ama anafanya kazi ya maana au
ndo hivyo tena SASA mara nyingi wengi hukosea hapo na kuwawekea aidha
positive ama negative attitude kisa alivyo vaa.
2.
Mvulana akiona msichana amemtamani kwa kiwango cha juu basi
kinachofuata atamweleza kile anachohitaji wakati Msichana yeye
atasikiliza kile mvulana atakachozungumza kwa kuzingatia vigezo
alivyoviona aidha handsome ama tajiri anazitaka hela zake.
3.
kwa kuwa wavulana huona kwa macho na kupeleka akilini ( ANA ANGALI,
ANAMTAMANI, THEN ANAFIKIRIA ITAMCOST KIASI GANI KUMPATA YULE MREMBO)
maana yake hilo jambo haliendi moja kwa moja moyoni bali ni kichwani
WAKATI msichana yeye atasikia kile anachoambiwa then maneno kama ni
matamu basi yataenda moja kwa moja moyoni bila kufikiria kwa umakini
kwanini huyu mtu kaniambia ananipenda, ndo hapo atakapoanza kufikiria
atakuwa too late
4.
mvulana inamchukua muda mrefu kumpenda msichana ki ukweli ukweli wakati
msichana inamchukua muda mfupi kumwamini mvulana kulinana na mwonekano
wake.
5.
Mvulana anapoumizwa huwa ni baada ya kukaa muda mrefu na msichana na
kumwamini lakini anapoinvest love for Real anajikuta yupo kwenye dimbwi
la tapeli wa mapenzi ila Msichana humchukua muda mfupi kuumizwa kwa
sababu hakumchunguza sana mpenzi wake na alimwamini kwa kusikia kile
anachosema mdomoni bila kujua kilichomo moyoni mwake, na anapogundua
ndipo matatizo yanpoaanzia hapo.
ALL IN ALL TUNAPASWA KUHESHIMU MAHUSIANO YETU
0 maoni: