Akina Dada Msijidanganye la Sivyo Mtaishiwa Kufunuliwa tu Mpaka Akili ziwakae Sawa
WEKA TANGAZO
Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.
Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30
na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana
umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart
lukuki tena magumu.
Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.
Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je ww
ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa
nyumban?
Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana
yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke
wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome
ww ni handsome?
Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa
sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia.
Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban
halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na
ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka
mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?
Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.
KWAHERINI
WEKA TANGAZO
0 maoni: