SAKATA LA MSANII HUSSEIN MACHOZI KUFUMANIWA NA MKE WA MWANASIASA MAARUFU NCHINI KENYA . SOMA HAPA SAKATA ZIMA
WEKA TANGAZO
Lundo la vyombo vya habari nchini Kenya limeandika habari kuwa
hitmaker wa ‘Kwaajili Yako’, Hussein Machozi amekamatwa akizini na mke
wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya.
Habari
za kukamatwa akiwa na mwanamke huyo zimeenea kwa kasi nchini humo.
Gazeti la The Star limedai kuwa Hussein alikuwa na uhusiano wa siri na
wa muda mrefu na mwanamke huyo na mume wake alikuwa ameshtuka tayari na
hivyo kuwawekea mtego.
Limedai kuwa wawili hao walikuwa wanachepuka kiasi cha kupanga
kununua nyumba ya pamoja. Vyanzo vilivyoongea na gazeti hilo vimedai
kuwa mwanasiasa huyo huwa husafiri mara nyingi na hivyo kumpa upenyo mke
wake kusaliti ndoa yake.
Blog moja ya Mombasa imeandika:
Msanii Hussein Machozi Apokea Kichapo Cha Mbwa Na Kupewa Masaa 24 Kuondoka Hapa Nchini Kenya.
Msanii huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya
kitalii hapa jijini Mombasa alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa
na mke wa kiongozi flani mashuhuri wa hapa nchini.
Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila
mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa
adabu. Msanii huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa
kitanda na hapo ndipo masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa
nchini kwa masaa aliopewa.
Hii ni habari nzima ya gazeti la The Star:
Tanzania bongo artiste Hussein Machozi was caught pants down with the
wife of a prominent Mombasa businessmen and beaten thoroughly. Hussein
who is nursing injuries was at the coast to shoot a music video when he
hooked up with the said wife.
According
to multiple sources who requested anonymity, the singer has been in an
alleged long standing secret affair with the married woman and they were
planning on buying a house together.
To keep the affair alive, the two love birds shuffled between Dar es Salaam and Mombasa.
Our source told Word Is, “The married woman’s husband is a very busy
man. His time is occupied by his numerous business ventures and
politics. He started suspecting the wife is stepping out on him when he
found funny texts on his wife’s WhatsApp. He then laid a trap for the
two of them.”
The Tanzanian heartthrob fell into the trap and was caught with his
hands in the cookie jar. Security teams on the ground tried to contain
the fiasco as the husband of the wife rained blows on the star.
His
closest friend Stephen Yaa famously known as Notystee – a Mombasa based
promoter – was with the Hussein when he arrived in in Mombasa on
Wednesday. Notystee confirmed to Word Is that the incident did happen
and that the bongo act called him up saying that he was in trouble.
“I was shocked when I received a call from Hussein saying that he was
in trouble. He had earlier told me that he was going to meet a certain
lady whom he was in love with, but I didn’t knew what was going to
happen,” Notystee said.
Commenting on the altercation, Hussein told Word Is, “I will get back
(to Mombasa) when am well. I’m in great pain. I never knew that the
lady belonged to a powerful man at the coast.” The star famed for
singles like Kafia Ghetto and Addicted is currently hiding at one of the
houses belonging to a prominent Tanzanian tycoon who lives in Nyali.
WEKA TANGAZO
0 maoni: