#UTAFITI : KULALA ZAIDI YA MASAA SABA NI HATARI KWA AFYA YAKO . SOMA HAPA KUJUA ZAIDI
WEKA TANGAZO
Wakati
ambapo tafiti za awali zilionesha kuwa kulala muda mrefu kunaweza
kusaidia zaidi kuweka sawa afya zetu, tafiti mpya zimeonesha kuwa kulala
zaidi ya masaa saba ni hatari sana kwa afya ya binadamu.
Utafiti
uliofanywa na Shawn Youngstedt, Professor wa chuo kikuu cha Arizona
State umebaini kuwa kulala zaidi ya masaa saba au chini ya masaa saba ni
hatari kwa mwili wa binadamu.
Akiongea
na Wall Street Journal, professor Shawn Youngstedt amesema kuwa
alifanya utafiti kwa watu 9,000 na kubaini kuwa watu wenye umri kati ya
miaka 50 hadi 64 waliolala chini ya masaa sita usiku au waliolala zaidi
ya masaa nane wana matatizo ya kumbukumbu na uwezo mdogo wa kufanya
maamuzi.
“The
lowest mortality and morbidity is with seven hours,' says .But eight
hours or more has consistently been shown to be hazardous,Just last
month a study of almost 9,000 people found those aged 50 to 64 who slept
for less than six hours a night - or more than eight - had worse
memories and decision-making abilities.”
Kwa hiyo tunashauriwa kulala kwa muda wa masaa saba tu usiku, sio chini ya hapo na sio zaidi ya hapo.
WEKA TANGAZO
0 maoni: