Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo UDAKU. Onyesha machapisho yote

Mtoto wa Simba amlilia mamake

0 maoni
Simba huyo aliwaelekeza walinzi hadi katika mzoga wa mamake
Mtoto wa simba aliwaongoza askari wa kulinda wanyama kwenda ulipo mwili wa mama yake ambaye alikuwa ameuawa katika mbuga moja ya kuhifadhi wanyama nchini India, kitendo ambacho maafisa wa wanyama pori wanakilelezea kuwa si cha kawaida.
Askari wa wanyama pori ambaye alimwona mtoto wa Simba akijificha vichakani, alimfuata na kugundua mwili wa Simba aliyeuawa katika kilima jirani.
Mtoto huyo wa simba aliulinda mwili wa mama yake hadi pale mlinzi wa wanyama pori aliporudi na maafisa wa wanyama pori na polisi kuondoa mzoga huo.
Uchunguzi uliofanyiwa mwili wa simba huyo ulibainisha kuwa alikufa katika mapigano na wanyama wengine huenda aliuawa na kundi la nyati.
Naibu mhifadhi wa Misitu katika eneo la Gir, Anshuman Sharma, amesema tabia ya simba huyo mtoto ni nadra kutokea na ni cha aina yake, kitu ambacho hajawahi kushuhudia katika miaka yake mingi ya kufuatilia tabia za simba.
Gir katika jimbo la Gujarat ni mahali wanapopatikana kwa wingi simba wa Asia na kwa mujibu wa sense ya wanyama iliyofanyika mwaka 2010, kuna simba 411 katika mbuga hiyo.
"Jumamosi mchana, nilikuwa nafanya doria katika hifadhi ya Tulsi-Shyam nilipomwona mtoto wa simba akichificha katika vichaka,"mlinzi wa msitu Rana Mori ameiambia BBC.
''Watoto wa Simba huambatana na mama zao''
Watoto wadogo wa simba nadra kuwakuta peke yao , kwa ujumla wanafuatana na mama zao na Bwana Mori anasema alianza kumtafuta mama ya simba huyo mtoto.
"Nilimfuatilia mtoto wa simba ambaye aliniongoza hadi kwenye mwili wa mama yake uliokuwa umelala katika kilima kidogo. Simba huyo jike aliitwa Rupa [likiwa na maana ya Mzuri].Kwanza alionekana kama aliyelala usingizi, lakini wakati hatikisiki, nilimsukuma na fimbo yangu. Ndipo nilipogundua kwamba simba huyo jike alikuwa amekufa," amesema.
Wakati Bwana Mori aliporejea na kundi la maafisa kuondoa mzoga huo, walimkuta mtoto huyo wa simba akiwa amekaa kando ya mwili wa mama yake.
Simba huyo jike ambaye alikuwa na umri wa miaka kumi na moja , alivunjika mbavu na kupata majereha ya ndani na kufa kutokana na kuvuja damu nyingi.
Mtaalam wa Simba Yadvendra Dev Jhala wa taasisi ya Wanyama Pori ya India ameiambia BBC kuwa hajawahi kusikia tukio kama hilo linalomhusu mtoto wa simba.
''Simba na walinzi wao''
Lakini amesema katika eneo la Gir hakuna mgogoro kati ya simba na binadamu na "kwa ujumla Simba wanawafahamu vizuri walinzi wao binafisi ".
Bwana Sharma anasema wanafahamika kwa tabia yao ya maisha ya kijamii: "Si kama Mbwa, hawatoi kucha au kutikisa mikia, lakini wanawatambua walinzi wanaowaona kila siku.."
Maafisa wa wanayama pori wanasema kwa ujumla watoto wa simba ni wategemezi mno wa mama zao kwa ajili ya maisha yao hadi wanapofikia umri wa miaka miwili na nusu hadi mitatu.
Mtoto huyo wa simba mwenye umri wa miezi 15, kwa sasa yuko chini ya uangalizi wa maafisa wa misitu.
"Mama yake, Rupa, alionekana kuwa mpweke na aliwinda peke yake,Lakini kwa sasa simba huyo jike ametoweka, tunatarajia mtoto huyo wa simba atajiunga na kundi lingine, au simba mwingine jike huenda akaanza kumtunza," amesema Bwana Sharma.

MSANII BABA LEVO ADAIWA KUMSHUSHIA KIPIGO SHEMEJI YAKE . SOMA HAPA KUJUA KISA CHA KUMSHUSHIA KIPIGO

0 maoni

STAA wa Bongo Fleva, Trey Revocatus ‘Baba Levo’ amedaiwa kumshushia kipigo shemeji yake aliyefahamika kwa jina la Pili Kimenya, mkazi wa Kisangani, Kigoma.
Kwa mujibu wa chanzo, Baba Levo alikwenda kwenye mazishi ya kaka yake ambaye alikuwa mchumba wa Pili, Patrick Revocatus, baada ya kuzika alimtuhumu shemeji yake huyo kuwa amemuibia marehemu cheni na aliposema hajachukua, jamaa akampa kipigo.
Aliulizwa Baba Levo kuhusiana na tukio hilo alisema:“Hamna mimi sikumpiga, wao na mama yake ndiyo walikuja kufanya fujo msibani nikawafungulia mashtaka polisi. Mwanamke huyo alimharibia marehemu kwa kumvutisha madawa ya kulevya.”

BAADA YA OMMY DIMPOZ KUWATUKANA MADIRECTER WA BONGO ADAMU JUMA AFUNGUKA MAZITO . SOMA HAPA KUJUA ALICHOKISEMA AJ

0 maoni


Kauli ya Ommy Dimpoz aliyoitoa siku mbili zilizopita akishauri wadau wajitokeze na kuwekeza zaidi katika kununua vifaavya kisasa ili wasanii wasipate sababu ya kwenda kushoot video zao nje, imewafanya madirector nao kutoa yao ya moyoni.

Kauli ya Ommy Dimpoz imetokana na maswali ambayo watu wengi wamekua wakihoji kwanini wasanii wengi sasa hivi wanaamua kwenda kushoot video zao nje na kwa gharama kubwa ili hali inaaminika hapa nyumbani bado kuna maeneo mengi na mazuri ya kufanyia video ambayo hayajatumika.


Baada ya Nisher kuzungumza na kuwatupia lawama wasanii kuwa wanawadharau madirector wa bongo, Adam Juma wa Visual Lab na yeye ametoa ya moyoni kuhusu kauli hiyo ya Dimpoz, kupitia Instagram ameandika:


“Hahahahahahhahahahahahaha vifaaa tutanunua inshallah, ila sasa nasisi tutaanza kutangaza bei mnazotilipa! Sijawahi kulipwa zaidi ya mil 3.5 na msanii yoyote tanzania km yupo aje ntampa video 10 buree. @rehemavisuallab @nisherbybee @jerrymushalastudios @hefemi @meckykaloka # niggarstalkingshit#mnanitibuasasa#noneducatedniggasoncrack#.”

Director Jerry Mushalla na yeye alicomment kwenye post ya Adam:


“Most Musicians like to blog and talk too much.. But when it comes to actual payments they don’t pay… @adamjumanxl I wish directors woote mngekuwa Na msimamo Wa pamoja @hefemi @nisherbybee @abas_adam @travellah”.


Na hiki ndicho Nisher alichokisema wiki hii kuhusu swala hilo:
“Mi sipati logic wasanii wanavyosema wanaweza kulipa sijui milioni za hela wapi…mi napigiwa simu na wasanii wakubwa lakini kila anaekupigia anasema mi sina hela lakini mi naweza kukugharamia chochote unachotaka tushoot video.


Unaanzaje na kauli halafu na wakati mi nasoma kwenye Internet kwamba umelipa sijui kiasi gani gani gani kwenye video flani flani, nafikiri video ya Ben Pol juzi tu ambayo tuliifanya ‘Unanichora’ labda ndio video niliyopata hela nyingi kwa kiasi flani kwa sababu video iligharimu karibu milioni 10 hivi. Mi nadhani tunachukuliana poa na kudhariana kiukweli.


Kwa Mfano ukinilipa milioni 5 au 10, una uhakika kwamba hela hiyo hiyo itatumika kusambaza kazi yako[…] kufanya kila kitu. Vyombo vipo cranes nini, cranes zenyewe za kukodi kwa siku laki 5, camera zipo za kukodi Red Camera unaambiwa labda dola 800 kwa siku, nani atakupa hiyo hela? Hivi vitu vinakatisha tamaa wasanii hawatukubali wanatuona kama hatujui.”

Hiki ndicho alichokisema Ommy Dimpoz wiki hii na kuwafanya madirector nao kuamua kufunguka:


“Biashara ya video ishaingia ushindani, kwahiyo kuna haja ya kuwekeza kwenye vifaa, m i nauhakika hapa mtu ana mavifaa kibao unaenda kushoot Lushoto huko noma, wazungu wenyewe watauliza umeshoot wapi. Tuna maeneo kibao Zanzibar wapi wapi wapi ya kushutia, sio kwamba hatuna maeneo, maeneo tunayo lakini hatujawa na 
vile vitu. Kwahiyo ndo maana hata mtu pia unafikiria ah sijui nishoot Zanzibar, lakini unawaza kumchukua labda GodFather au nani kumleta huku Tanzania ndio mziki.


Halafu mtu utakapoleta vifaa hivyo nauhakika hautaishia kwenye video tu, kuna matangazo, utakodi utafanyaje…Watu lazima waelewe kitu kimoja kwamba hakuna mtu anaependa kujitia gharama kama kuna uwezo wa kuepuka gharama, sio ufahari mi nina vitu vingi vya kufanya sio kwamba nataka tu nikalipe dola elfu 30 kushoot video wakati nina uwezo wa kuokoa hiyo hela labda kulipa dola elfu 15 au elfu 10. 


Wadau wanatusikia sie ndio wasanii wenyewe tunasema kwamba muziki unalipa mnaona sasa hivi vijana wenu wanapata shilingi mbili tatu, hizo shilingi mbili tatu mtagawana nao vipi kuliko kwenda kuwapa watu wengine huko nje ya nchi.”

LAANA HII : CHEKI PICHA ZA MSANII RIHANNA AKIGONOKA NA MBWA WAKE (18+)

0 maoni


Picha za mwanamziki mashuhuri wa Marekani, Rihanna akigongwa na mbwa zasambaa mtandaoni. Chanzo cha udaku na umbea huu kinasema kuwa mwanadada Rihanna amekuwa akitembea na mbwa barabarani, na hata kulala nao kitanda kimoja kwani ni mpenzi sana wa wanyama hawa.

Chanzo hicho kinasema kuwa ukaribu wa Rihanna 



na wanyama hao ndo uliopelekea mwanadada huyo kuanza kulambana naye kama hana akili mzuri vile. Eti, hata upweke alio nao baada ya kutosana na wapenzi kibao wakiwemo Chris Brown na Drake utakuwa umechangia mwanadada huyo kuamua kumvulia mbwa wake Chupi
Hata hivyo, baadhi ya watu wamekuwa wakidai kuwa hiyo hapo juu siyo picha ya Rihanna ni mtu mwingine ambaye amefananishwa naye na hivyo watu wakaamua kumuunganishia mwanadada huyu kwa sababu huwa hawapendi kuona jina lake likiwa safi hata siku moja. 
BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO NA PICHA ZAIDI

HIZI NDIO PICHA ZA WEMA , KAJALA NA ANTY ZILIZOZUA UTATA MITANDAONI

0 maoni
Just imagine how hot is it on the bed.. lol wema, kajala and ant ezekiel you made it, so mwaaaah!! lol is hot style or bad? just imagine how hot is it on the
bed.. Lol wema, kajala and ant ezekiel you made it, so mwaaaah!! lol is hot style or bad? just imagine how hot is it on the bed.. Lol wema, kajala and ant ezekiel you made it, so mwaaaah!!

HUYU NDIO SUPER STAR BIKIRA KUTOKA NIGERIA ALIEWAAHIDI BOKO HARAM URODA

0 maoni

Muimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian ambaye April mwaka huu alidai bado ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi atakayemnunulia mama yake ndege binafsi, amemake headlines tena kwa kuwaahidi Boko Haram uroda watakapowaachia wasichana 300 wanaowashikilia.
“Natamani kujitoa mwenyewe kwao,” alisema Adokiye Kyrian kwenye mahojiano na gazeti la Vanguard.

“Wana umri kati ya miaka 12 na 15. Mimi ni mkubwa na mzoefu kidogo. Hata kama nikitembea na wanaume 10 hadi 12 kila siku, sijali. Waachieni wasichana hawa na warudi kwa wazazi wao,” alisema.

DUDE, TINO MBARONI NCHINI KENYA . BOFYA HAPA KUJUA CHANZO NI NINI

0 maoni


ASANII nyota wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na Hisan Muya ‘Tino’ hivi karibuni walitiwa mbaroni katika mji wa Kilifi ulio mbele ya Mombasa nchini Kenya baada ya kukutwa wakipiga picha za filamu yao bila kuwa na kibali.
Msanii nyota wa filamu Bongo, Hisan Muya ‘Tino’.
Hata hivyo, waigizaji hao baadaye waliachiwa, ingawa hali ilikuwa ngumu kidogo kwa Tino, ambaye polisi wa Kenya walidai hakuwa Mtanzania, bali ni raia wa Somalia.
Dude alithibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema liliwatokea kutokana na mazoea ya huku nyumbani ambako hufanya shughuli zao za kupiga picha za filamu zao bila kuhitaji kibali.
Msanii nyota wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’.
“Yaani tumepata aibu ya mwaka, kwani tulienda kushuti bila kuomba kibali kutokana na mazoea ya huku kwetu Bongo, tulipekuliwa sisi na gari letu, baada ya hapo kibali kikaletwa nikaachiwa lakini Tino waliendelea kumshikilia wakisema ni Msomali mpaka mkuu wa shirikisho la filamu Mombasa alipokuja kuokoa jahazi, ukweli Kenya hakufai,”alisema Dude.

HUYU NDIO MZEE WA KANISA ALIEFUMWA GESTI

0 maoni

Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob, Ijumaa lina kisanga cha aina yake.
Mzee wa kanisa la kiroho aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa,
HABARI KAMILI
Tukio hilo ambalo kamwe Luca hawezi kulisahahu maishani mwake, lilijiri kwenye gesti hiyo iliyopo karibu na Kituo Kikuu cha Mabasi cha Segerea, Dar, Jumanne iliyopita huku mzee huyo akishushiwa tuhuma nzito ya rushwa ya ngono kwa vibinti chini ya miaka 18.

Katika tukio hilo, mzee huyo wa kanisa na msanii huyo wa Kundi la Maigizo la Vivif lenye maskani yake maeneo hayo walikuwa wamejichimbia kwenye gesti hiyo katika chumba ambacho mlangoni kilikuwa kimeandikwa Rombo kabla ya kuchomolewa na kufikishwa kanisani kisha polisi.
TUHUMA NZITO
Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, ikiwa kwenye mingo zake, ilipokea simu kutoka kwa dada aliyejitambulisha kwa jina moja la Diana na kujieleza kuwa anatoka kundi la sanaa za maigizo la Vivif lililopo Segerea jijini Dar.

OFM: Ndiyo hujakosea unazungumza na 
OFM, tukusaidie nini?
Diana: Kuna mzee wa kanisa la kiroho la (anataja jina la kanisa hilo) lililopo maeneo ya Segerea, aliomba kuwa mfadhili wa kundi letu.

Akiwa kwenye geti la kanisa.
Tulimkubalia na baada ya muda alianza kutumia fedha zake vibaya kwa kufanya vitendo visivyofaa.
OFM: Vitendo gani visivyofaa? 
Diana: Anawarubuni mabinti wadogo anawaweka kambini na kula nao tunda tamtam eti ndiyo tiketi ya kuchezeshwa kwenye maigizo.
OFM: Tiririka!

Diana: Yaani hadi muda huu ninapozungumza na ninyi mzee huyo wa kanisa anachati na msanii mwingine wa kundi hilo. Anaitwa Debora anataka waende kwenye gesti fulani wakanogeshane, wahini tayari mtego umewekwa utafyatuka muda wowote.
UDHALILISHWAJI?
Diana alisema baada ya Debora kuombwa ‘mambo’ ndipo akawataarifu wasanii wenzake na kuwataka wote kwa pamoja waungane kuikomesha tabia hiyo chafu ya Luca anayelichafua kanisa la kiroho na kulidhalilisha kundi lao la sanaa.

OFM MZIGONI
Baada ya kuseti kila kitu, Diana aliiomba OFM iambatane nao kwani muda huo tayari Debora alishatangulia kwenye gesti hiyo kumfuata mzee huyo wa kanisa ambaye alishachukua chumba.

.....akitaitiwa.
Taarifa hiyo ilipokelewa kwa mikono miwili na kiongozi wa OFM ambaye aliwaagiza vijana wake makini ambao walisitisha kazi nyingine za kiintelijensia kisha kuelekeza nguvu zao eneo la tukio.
Vijana hao walitumia pikipiki zao ziendazo kasi ambapo baada ya muda usiozidi dakika ishirini walikuwa wamefika kwenye gesti hiyo.

ENEO LA TUKIO
OFM walipofika eneo la tukio, walikuta kundi la wasanii hao wakimchomoa gesti mzee huyo wa kanisa ambaye aliruka ukuta na kudondokea kwenye matuta ya viazi.

Akiwa anajizoazoa kwenye matuta hayo, kundi la wasanii hao lilimuunganishia ambapo kabla ya kumnasa aliingia kwenye chumba cha nyumba iliyopo jirani na gesti hiyo ili kujisalimisha.
Hata hivyo, zoezi lake lilifeli baada ya wasanii hao kumtahadhalisha mwenye nyumba hiyo kuwa wanamtaka mtuhumiwa wao la sivyo wangeichoma moto.

Baada ya kuzingirwa na wasanii hao huku akihatarisha maisha yake kwa kuwa wasanii hao walikuwa na hasira, aliona yasiwe makuu akaamua kuwaruhusu wamtoe mtuhumiwa wao wakamalizane naye kanisani.
KABANG!
Alipotiwa mikononi, mzee huyo wa kanisa aliomba apelekwe kanisani ambapo hapakuwa mbali na eneo la tukio ili akahifadhi vitu vyake muhimu pamoja na kuomba ushauri.

APELEKWA MSOBEMSOBE KANISANI
Kundi hilo la wasanii lilimpeleka kanisani msobemsobe ambapo baada ya hatua kadhaa polisi walitokea na kuwadhibiti wananchi wenye hasira na wasanii waliotaka kumdhuru mzee huyo wa kanisa wakati akipelekwa kanisani.

Mtuhumiwa akitembezwa mtaani.
MTAANI WERAAA!
Wakiwa mitaani, njiani mabinti walikuwa wakipiga kelele ‘weraaa…ukomeee…’ huku wakifurahia kufunga mitaa kwa madai kwamba mzee huyo wa kanisa alizidi.
Katika sekeseke hilo, polisi hao walimtia pingu mzee huyo wa kanisa na kuongoza safari ya kuelekea kanisani.

Wakiwa kanisani hapo polisi walijitambulisha na kuwauliza wachungaji pamoja na waumini wa kanisa hilo kama walimfahamu mzee huyo wa kanisa.
BREKI YA KWANZA POLISI
Kundi la wazee pamoja na vijana wa kanisa hilo walikiri kuwa Luca ni mmoja wa wazee wa kanisa hilo ndipo polisi hao wakamruhusu kuwakabidhi baadhi ya vitu vyake ikiwemo simu na fedha kisha breki ya kwanza ikawa Kituo cha Polisi cha Tabata-Shule ambapo alifunguliwa jalada la kesi namba RB/3843/2014 -RUSHWA YA NGONO, KUWAWEKA KAMBI KINYUME CHA SHERIA WASICHANA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18 NA KUWADHALILISHA KIJINSIA.

PENNY NA WEMA WAKUMBANA STUDIO

0 maoni

Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake.
Mtangazaji wa Dtv Penniel Mungilwa ‘Penny’
Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Posta, jijini Dar katika Studio za Amaya ambayo ni saluni inayotumika kurekodia vipindi mbalimbali vya Mkasi vinavyorushwa kupitia Runinga ya EATV.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mwigizaji Aunt Ezekiel alialikwa na mtangazaji wa kipindi hicho, Salama Jabir kwenda kufanya mahojiano, akaambatana na shosti wake Wema ndipo ghafla wakakutana na Penny ambaye naye alialikwa kwa wakati wake.
Chanzo kilizidi kumwaga data kuwa, baada ya Aunt na Wema kufika studio hapo, Salama aliwakaribisha na wakaanza kurekodi kipindi hicho, lakini walipokuwa wakiendelea na mahojiano, Penny naye aliwasili bila kujua kama Wema alikuwepo.
“Penny alipofika alizama ndani na kukutana na Salama ambaye alimwambia kuwa kuna watu wanatoka ndani muda si mrefu hivyo wakati bado wanaongea, Wema na Aunt walitoka studio ambapo Penny alikimbilia kwenye gari lake kukwepa kuonana na Wema ambaye pia alionekana kutotaka kuonana na Penny,” kilisema chanzo na kuongeza:
“Kwa kuwa Wema naye alimuona kwa mbali Penny, alimtaka Aunt waingie kwenye gari fastafasta na kuondoka eneo hilo.”
Mkali katika tasnia ya filamu Bongo Wema Sepetu.
Mapaparazi wetu baada ya kuunyaka mchongo huo, walimtafuta Penny ili kumsikia anazungumziaje ishu hiyo. Alipopatikana, alijibu hivi:
“Mimi sikumkimbia Wema na itambulike kuwa wakati naenda pale sikujua kama Wema alikuwepo hivyo nilifika na kusubiria muda wangu wa mahojiano nikiwa ndani ya gari, sikuwa na haja ya kujua Wema yupo ama la.”
Jitihada za kumpata Wema hazikuzaa matunda lakini alipotafutwa Aunt Ezekiel, alitiririka:
“Nilimuona Penny kweli pale studio ingawa mwanzo nilitahamaki maana sikujua kama naye alikuwa akisubiria tutoke aingie kwenye kipindi ila Salama alinishtua sana baada ya kusema kabla hatujatoka ndani tusubiri aandae uwanja wa ngumi, alitania.”

Wema na Penny wanadaiwa kuwa picha haziendi baada ya Wema kumtuhumu Penny ambaye alikuwa rafiki yake kuwa alimwibia Diamond wake kabla hawajamwagana na kurejea tena mikononi mwake.

JACK PATRICK AFYA TETE GEREZANI NCHINI CHINA . BONYEZA HAPA KUJUA ZAIDI

0 maoni


UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila kufafanuliwa.
Mbali na kuwa na afya tete, pia Jack anadaiwa kulalamikia haki za msingi za kibinadamu ambazo anazikosa mahabusu kwa kuishi maisha kama ya mtu aliye kifungoni.

Akizungumza na Amani juzi jijini Dar, mtu anayejitolea kumpa msaada na kumtembelea Jack mahabusu, Macau, China alikoshikiliwa, Matilda  alisema Jack anaumia kwa kupewa maisha kama tayari amehukumiwa, anaona bora hukumu yake ipite ajue moja.
“Kiukweli Jack anaumwa, alishindwa hata kwenda mahamani, mbaya zaidi hata wakili wake naye hakutokea siku hiyo.
“Halafu kule mahabusu anafanyishwa kazi ngumu ambazo hastahili kama mahabusu na amesema hata watu wake wa karibu ambao anaamini kwa kipindi hiki wangekuwa wanampa faraja hawaoni, anatamani angekamatiwa Bongo labda kuna watu wanapenda kwenda kumtembelea kule Macau lakini hawana uwezo.

“Wabongo wengi ambao wako Macau kwa ajili ya sanaa ya sarakasi ndiyo kidogo wanakwenda kumtembelea siku mojamoja,” alisema Matilda.

Juni 20, mwaka huu, Amani lilizungumza na Mbongo Fleva anayedaiwa ni mtu wa karibu na Jack, Juma Khalid ‘Jux’ na kumuuliza kwa nini hajawahi kwenda kumtembelea ‘bebi’ wake mahabusu kama wanavyofanya Wabongo ambao wako Macau, akajibu:
“Sipendi kusikia ishu yoyote inayomuhusu Jack kwani nina mambo mengi ya kuongelea na si ishu za Jack kila kukicha.
“Kwa kipindi hiki sitahitaji mtu aniulize ishu za Jack, zinanitibua sana na kama kuongelewa zimeshaongelewa hivyo sioni kipya.”
Hii ni mara ya tatu kwa Jack kupanda mahakamani, mara ya kwanza ilikuwa Aprili 10, mwaka huu kosa likiwa kukutwa na madawa ya kulevya tumboni aina ya heroin kete 57 au kilo 1.1 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 223. Mara ya pili ilikuwa Mei 23, mwaka huu.

Mwanamke aliyefanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin aongea kwa mara ya kwanza.

0 maoni
mager
Unaweza kushangaa na kuona ni kitu cha ajabu lakini hii imetokea ambapo mwanamke ambaye alifanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin ikiwa ni sehemu ya utafiti wa kisayansi amezungumza kwa mara ya kwanza juu ya hatua hiyo.
Mwanamke huyo Margaret Howe Lovatt ambaye ni mtafiti wa wanyama amesema alikuwa sehemu ya utafiti huo uliofanyika katika kisiwa cha Virgin nchini Marekani kwa ajili ya kuwafundisha viumbe wa baharini wenye akili jinsi ya kuongea kiingereza.
Margaret Lovatt Howe
Margaret Howe Lovatt anasema alikuwa akijaribu kumfundisha Peter (the dolphin) jinsi ya kuongea kiingereza lakini uhusiano wao ulikwenda mbali zaidi.
Ilikuwa mnano wa mwaka 1963 ambapo walimsaidia kutengeneza bwawa la Dolphin nyumbani kwake ambako wanasayansi wangeweza kuwasoma wanyama hao wakiwa nyumbani, ndipo hapo Margaret alipokuna na Peter ambaye ni samaki aina ya Dolphin kwa wakati huo akiwa bado mdogo ambapo wawili hao wakapatana na mahusiano yao kukua zaidi kimwili.
Margaret amenukuliwa akisema kuwa “Peter (Dolphin) alipenda kuwa na mimi, mara nyingi alikuwa akijisogeza mwenyewe karibu yangu kwenye mguu wangu au mkono na kuruhusu kitendo hicho.”
dolphin
Anaendelea kusema kuwa “Haikuwa shida kwangu kwani Peter alikuwa akihisi uwepo wangu na kuona ni kitendo cha kimapenzi kwa upande wake lakini kwangu niliona ni kitu cha kawaida kama sehemu ya masomo yangu.”

Picha Chafu Za Wema Sepetu Na Diamond Platnumz Zatinga Bungeni..!!

0 maoni
Sakata la mastaa wakiwemo Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupiga picha chafu kisha kuzitundika mitandaoni limetinga bungeni baada ya juzikati baadhi ya wabunge kulishupalia.
Staa Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kwenye pozi lenye utata.

Hilo liliibuka Suzi mjengoni katika kipindi cha maswali na majibu ambapo Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Saidi Mtanda alitaka kujua hatua zilizochukuliwa na serikali katika kukabiliana na tabia za watu maarufu kupiga picha zisizo na maadili kisha kuziweka mtandaoni.

Katika kujibu swali hilo, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia alisema: “Tunajitahidi kuhakikisha wanaofanya hivyo wanachukuliwa hatua stahili ili kukabiliana na matendo hayo ambayo ni kinyume na maadili.”

Mastaa Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa kwenye pozi la kimahaba

Katika kuonesha kutoridhika na majibu ya waziri, Mheshimiwa Mtanda alipopewa nafasi aulize swali la nyongeza alisema: “Mheshimwa spika nahisi swali langu halijajibiwa ipasavyo. Nilichotaka kujua ni hatua ambazo zimechukuliwa kwa baadhi ya watu mastaa kama vile Wema na Diamond ambao hupiga picha zao zisizofaa kisha kuziweka mtandaoni.”

Kufuatia swali hilo, Nkamia alisimama na kujibu kwamba, serikali imeweka mikakati na njia sahihi za kukabiliana na tabia hiyo na kwamba wale ambao watabainika watachukuliwa hatua zinazostahili.

 Licha ya majibu hayo, bado wabunge walionesha kutoridhika, hali ambayo Spika Anne Makinda aliiona na yeye akaongezea “Waheshimiwa wanataka kujua na za hivi karibuni zilizovuja mtandaoni” ambapo jibu la Nkamia lilikuwa:

“Mheshimiwa kuhusu hizi picha za juzi zilizosambaa mtandaoni, tunazifuatilia kujua zimeanzia wapi na taarifa zake zikoje kwani hata mimi bado sijaziona ila tutachukua hatua tutakapobaini zilikotokea.”

-swahilitz