PICHA TATA ZA STAA HUYU ZA SAMBAA MITANDAONI!! JIONEE MWENYEWE

WEKA TANGAZO
Picha tata  za aina yake za mwanadada ambaye ni SOCIALITE mweusi kutoka United States of America (USA), Ravie Roso,  zimemfanya mdada apate Followers wengi kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM...SOCIALITE huyu ambaye ana umbo matata amekuwa anapiga picha za mtindo wakuonyesha mapaja na miguu tu....style hii imewambamba wengi (hata mimi).....Jionee mwenyewe picha hizi...Then niembie kama zimekubamba au?
WEKA TANGAZO

0 maoni: