Miss Atupia Picha Za Nusu Utupu Instagram, Ni Rehema Fabian Aambulia Matusi! Jionee Hapa
WEKA TANGAZO
MAJANGA!
Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada
ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram
kisha kuambulia mvua ya matusi.
Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katika mtandao wa Instagram
Picha
hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya
mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa
kumpa za chembe..
“Huwezi
kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii
katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.
-umbeamtupu
WEKA TANGAZO
0 maoni: