MAPENZI YA DHATI SIO KUPIGANA PICHA ZA UCHI NA KUDHALILISHANA, CHUNGA SANA..!!
WEKA TANGAZO
Kupigana picha za uchi imekuwa fashion siku, na unakubali vipi kupigwa
picha za namna hiyo. wakati mwengine unaweza kujikuta kwenye matatizo
makubwa bila kupenda, kwa mfano simu au kamera yenye picha hizo ikipotea
ujue hapo ni balaa, huwezi kuwa na amani hata kidogo. Au aliyekupiga
picha hizo mkigombana tu anaweza kukudhalilisha muda wowote. Chunga sana
wengine hufikia hata uamuzi wa kujiua wakati akiona ameppata aibu, na
ujiona hana dhamani tena baada ya picha kusambaa.
WEKA TANGAZO
0 maoni: