STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: Chicolove NAMBA: 0658,0765,270133 SEHEMU : 1

WEKA TANGAZO Baada tu ya kumaliza kidato cha nne nikaanza kutafuta maisha sikutaka kusomea course yeyote!
Kutokana na ugumu wa maisha na familia kua kipato duni ili bidi nijingize kwenye kutafuta maisha uku nikiwa nasubiria matokeo ya kidato cha nne!
Nikiwa katika pitapita zangu za hapa na pale mara nikasikia!
Hey dogo vp uko poa mbona unaonekana kama mwenye mawazo sana nini tatizo!
Hapana kaka niko poa sema nawaza wapi nitapata kibarua cha kufanya siku ya leo!
Vipi unaweza kazi ya kubeba zege?
"Ndio kazi zangu izo braza mbona kuna dili sehemu gani niwai hapo kabla wajanja awaja wairiziki hiyo!
"Usiwe na wenge dogo mimi ndio Enginiaer naitwa bwana Moses nitakupa kazi hiyo uwe nawe unaingiza siku!
"Nikajikuta kimoyomoyo nafurahi uku nikiwa naanza kuamini nimepata kazi ya kudumu!
"Hey bwana mdogo mbona mawazo tena ?
Hakuna tatizo braza ila nilikua nahitaji jambo fulani je? Naweza kua dogo wako kila kazi ikitokea upate kua nami?
"Ndio bwana mdogo mwenyewe pia nimevutiwa na adabu yako nitakua naongozana nawe kila mahali iwe mkoani au nje ya nchi!
"Nilishtuka sana kusikia ivyo nikajiona mwenye bahati yakupata nafasi ya kua ninatembea na tajiri katika kazi zake!
"Sasa wewe nenda kajichanganye na wale wenzako pale nakuja naenda kuchukua vifaa vya mafundi!
"Poa braza nikaenda nikawa salimia wenzangu!
Mambo vijana mko poa makanda!
"Tuko poa kijana vp mstafa ndio amekuleta au unatafuta kibarua?
"Ndio yule tajiri ndio kanileta kaniambia nije niungane nanyi anakuja ameenda kuchukua vifaa!

Oyaah Juma leo nikipiga kazi nataka changu sio kuanza kuzungushana wewe na uyo bosi wako mtajua jinsi ya kumalizana wewe ndio fundi unatulipa!
"Kama bosi ajatoa ela unategemea nikupe nini?wewe piga kazi pesa yako utalipwa!
"Mpaka saivi nimefanya kazi wiki mbili sijalipwa kila siku ela ijatoka ela ijatoka ipo siku mtu atakuja kuchinjika hapa haya majasho ya wanaume!

"Nikajikuta naingia hofu kidogo inakuaje mtu anafanya kazi wiki mbili ajalipwa?
"Ni maswali nilikua najiuliza baada yakusikia malumbano ya fundi mkuu na kibarua wake!
"Mustafa akaja nakutupeleka kwenye kazi!
"Hey vijana uyo ni mwenzenu msimwonee katika kazi sawa!
"Sawa bosi! Oyaah kamanda unaitwa nani?
"Naitwa Hance!
Mimi naitwa Juma, huyu anaitwa Ayoub, na huyo mfupi anaitwa Ngosha!
"Poa tuko pamoja!

"Tukafika kazini kucheki iyo sehemu ya kazi ikabidi kwanza nilegee mwili mzima!
"Kazi iliyokua inafanyika ni yakupandisha zege kwenye kigorofa!

"Nikajikuta na mgeukia yule tajiri yangu nakumwangalia akaniambia..........ITAENDELEAAA!!!
WEKA TANGAZO

0 maoni: