STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE NAMBA: 0658,0765,270133 SEHEMU: 2
WEKA TANGAZO
Nikajikuta namgeukia yule boss wangu baada ya kuona mbona kazi ningumu!
Hey dogo mbona unanitazama fanya kazi acha kulegea legea wewe siumeniambia unaweza kazi za zege?
"Nafanya mzee uku nikishusha pumzi kwa nguvu!!
Nikavua suruali yangu nakuanza kupiga kazi baada ya kupandisha juu kama ndoo tano ivi mgongo, kiuno, na mabega vikaanza kuniuma!!
"Nikajishika magoti uku nikiwa nahema kama kibaka aliyekimbizwa akanusurika kufa!!
"Oyaah dogo vipi umekata moto? Izi ndio kazi za kiume jikaze ndio maisha sisi tuliokimbia shule ndio maisha yetu haya changamka utakatwa pesa ukiwa unategea!!
"Baada ya kibarua mwenzangu kunipa habari kumbe ukipumzika unakatwa hela?
"Nikajikongoja nakuanza kushuka taratibu kwenye ngazi za kigorofa uku nimeshika ndoo yangu mkononi!
"Nikiwa nashuka taratibu uku kila mahali katika mwili wangu pakiwa panauma nikajikuta na waza!!
Ivi uyu Mungu ni wa namna gani? Mbona wengine wanaishi kwa raha wengine tunapata tabu ivi!
"Nikajikuta jasho linanitoka uku gafla machozi yakinitiririka hata hamu ya kuendelea kufanya kazi ikatoweka moyoni mwangu!!
"Hey dogo unalia nini acha upumbavu mtoto wa kiume jikaze unalia lia kama demu!!
"Ayubu sema Juma kuna tatizo gani mwambie uyo dogo achangamke mbona aleti zege?
"Ha ha ha ha Mustapha katuletea mtoto wa kike uku dogo analia yuko hoi!
"Weeh dogo acha us*ng* leta zege unamlilia nani? Mlaumu mama yako aliyekuzaa!!
"Baada ya kusikia maneno hayo makali kutoka kwa Juma hasira zilinipanda!!
"Nikajikuta nainua macho yangu juu nakusema!
"Nishike mkono Mungu wangu dunia haina usawa*
Nikapata nguvu za ajabu nakujikuta nakamata vindoo viwili vidogo nakuanza kupandisha zege haraka haraka hadi wale vibarua wenzangu wakashangaa!!
Dogo kumbe ukiamua unaweza eeh! Usikae kilegevulegevu hapa wewe mtoto wa kiume!!
"Ilipofika saa 6 mchana fundi mkuu akaamuru tuache kazi kwa mda tukapate chakula cha mchana!!
"Wenye bangi , sigara, viroba wakatoa nakuanza kujipumzisha!!
"Mimi nikabaki tu nashangaa maana nilikua sijui atacha kufanya wakati huo!!
"Mara akaja binti mmoja kuchukua hoda ya watu atakaowaletea msosi!
"Uku njaa, kiu vikiwa vinanitafuna sawasawa nilikua sina hata senti moja nikajikuta na msogelea yule dada nakuanza kumwambia kama anaweza nikopea msosi kesho nikilipwa ni mpe hela yake!!
"Jibu alilonipa linifanya nijinamie nakumwambia asante!
" Weeh kaka vipi ulisikia hapa tunatoa msaada kwa watoto yatima kama huna hela kaa uko pembeni acha niwasikilize wenzako!!
"Dada samahani kama nimekukosea sijapenda majibu yako!
"Mara akanijibu ebu nitolee.........ITAENDELEAAAA! !

"Mara akanijibu ebu nitolee.........ITAENDELEAAAA!
Je? Nini icho uyo dada alichomjibu Hance Alifanikiwa kula ?
WEKA TANGAZO
0 maoni: