STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE JR NAMBA: 0765,0658,270133 SEHEMU : 12
WEKA TANGAZO
"Darling kuna tatizo mbona umeniangalia ivyo kuna nini umeona kwenye simu yangu"
"Usijali beibe am oky nipicha tu fulani tu ndio imenishangaza"
"Picha gani hiyo?
"Baba yako kumbe ni waziri?
"Ndio dady umejuaje?Namfahamu si waziri wa sheria"
"Ndio umeogopa?
Hapana nimeshangaa kumbe niko na mtoto wa kigogo"
"Ebu acha kusema ivyo ni baba tu kama walivyo wa baba wengine kile ni cheo tu kapewa"
"Aurelia akanisogelea na kunibusu mmh mwaah nenda kaoge dady nakupenda"
** * Mustapha kama kawaida yake akiwa amekuja na msichana mwingine katika gari lake alianza kufoka"
"Kazi mnafanya au mnakaa tu kuchunguza mambn ya bosi wenu kama yule dogo?
"Hakuna aliyemjibu mafundi wote wakaendelea kufanya kazi zao"
"Mustapha akarudi kwenye gari lake aina ya subaru nyeusi yenye vioo vyeusi akaingia na kuendelea kuponda raha na mpenzi wake"
* * * Mama nashukuru kwa chai ngoja nami nijaribu tena kumcheki Hance kama nitafanikiwa kumwona ikishindikana tuende polisi"
"Kweli kabisa kijana wangu tangu jana sina hata furaha namwaza mwanangu sijui uko alipo kama yuko salama "
"Usiogope mama naimani leo Hance atakuja usiwaze sana utapata magonjwa ya moyo mama umri wenye kwako umeenda "
"Haya mama ngoja niende!
"Safari njema mwanangu
"Asante mama nawe pia ubaki na Amani moyoni mwako"
** * Nikiwa bafuni nikawa na nawaza juu ya Aurelia itakuaje maana kutembea na mtoto wa Waziri ni jambo gumu kidogo"
"Mtoto wa mkulima kama mimi itakuaje pale nitakapo kua nimempa mimba na baba yake ni waziri tena ni waziri wa sheria"
"Nikiwa najiuliza maswali yaliokua na majibu ya utofauti moyoni mwangu"
"Hakuna waziri anayeitumikia serikali yuko tayari kuona binti ake anatembea na kijana wa hali ya chini kama mimi"
"Nikatoka bafuni nakukuta Aurelia akiwa ameshajianda kwa ajili ya kuondoka"
"Hey Hance are you oky?
"Yap niko sawa beibe vp tayari umeshaonana na Dokta?
"Ndio nakusubiri wewe tu tuondoke hapa!
"Sawa je utaongozana nami hadi nyumbani kwetu?
"Ndio dady lazima nikupeleke nyumbani kwenu"
"Wewe upo serious au unanitania?
"Ndio kwani kuna tatizo mimi kwenda kwenu?
"Hapna ila naogopa wewe unadhani wakiniuliza huyu ni nani nitajibu nini?
"Siunawambia ni rafiki yangu anaitwa Aurelia!
"Ha ha ha haya bana ila najua watajua tu jambo fulani kati yetu"
"Ndio vizuri awanitambue mimi ni nani kwako!
"Tukaanza safari ya kwenda nyumbani uku nikiwa napiga story na Aurelia!
"Tukiwa njiani nikamwona baba na Moses wakiwa wamesimama kandokando mwa barabara!
"Hey dereva tafadhali naomba simamisha gari kuna watu nimewaona nahitaji kuongea nao
"Nikashuka kwenye gari uku Aurelia nae akawa ameshuka akiwa amenishika mkono!
"Nilipofika karibu ya baba na Moses wakiwa wanataka kuondoka ivi nikamwita babaaa akageuka na kuniangalia uku akiwa anashangaaa taratibu akaanza kunifuata akiwa sambamba na Moses wananiangalia uku wakiwa..............ITAENDELEA AAAA!!
Usikose kufuatilia Sehemu ya 13 kujua nini kiliendeleaa! Mobhai.blogspot.com WEKA TANGAZO

"Nilipofika karibu ya baba na Moses wakiwa wanataka kuondoka ivi nikamwita babaaa akageuka na kuniangalia uku akiwa anashangaaa taratibu akaanza kunifuata akiwa sambamba na Moses wananiangalia uku wakiwa..............ITAENDELEA

0 maoni: