STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE JR NAMBA: 0765,0658,270133 SEHEMU: 13
WEKA TANGAZO
Hance mwanangu ulikua wapi!na uyo ni nani ako?
"Nikashindwa kumjibu baba nikabaki tu namwangalia"
"Hance kijana wangu umeanza kuangaika na wanawake ?
"Hapana baba uyu ni rafiki yangu anaitwa Aurelia"
"Ndio ulikua nae tangu jana?
"Ndio baba alikua nami hospitalini!
"Hospital kulikua na tatizo gani"
"Baba ni story ndefu kidogo ngoja tufike nyumbani sijisikii vizuri bado niko kwenye doz "
"Baba akasalimiana na Aurelia tukaenda kupanda gari wote tayari kwa safari ya kwenda nyumbani"
"Tukiwa njiani Baba na A urelia waliendelea kufahamiana uku nami nikiwa namsimulia Moses kilicho nipata"
"Pole sana rafiki yangu hapa ndio nimetoka nyumbani kwa mama tulikua tunajadiliana na mzee tuende tukatoe taarifa polisi"
Daah poleni sasa vipi mama siatakua na presha uko alipo?
"Acha tu mama ako anakosa hadi furaha kwa ajili yako"
"Mimi mwenyewe nilikua namfikiria sana namfahamu sana mama atakua amekosa furaha sana siunajua tena mtoto mwenyewe mimi pekee lazima anipende"
"Acha izo wewe hata mimi mama yangu ananipenda bana usiniringie"
"Oyaah uyu ni nani tena mwanangu?
"Moses akaanza kutaka kufahamu Aurelia ni nani yangu"
"Ni shem wako unatakiwa ueshimu sio unaeka undezi wako ukamkosea adabu"
"Aurelia akiwa wanaendelea kuongea na mzee uku wakiwa wanafurahi ilinifanya nami nijisikie faraja sana moyoni"
"Daah mwanangu shemu mzuri hongera kamanda wangu kwa kung"oa mtoto wa ukweli"
"Asante kamanda Aurelia ni mzuri moyoni kuliko machoni mwako unavyomuona"
"Unamaana gani kusema ivyo?
"Kwa jinsi nilivyo kaa nae tu nimetambua nimwanamke mzuri moyoni mwangu na machöni pangu pia"
"Kuna wanawake wachache sana hapa duniani warembo wenye moyo kama wa Aurelia"
* * * Mustapha baada ya kukaa kwa mda uko ndani ya gari alitoka akiwa na macho mekundu uku akiwa anahofu hofu usoni mwake"
"Sasa fundi ngoja nifike mjini mara moja nitarudi mda sio mrefu"
"Uku akiwa amesahau kufunga zipi ya suruali yake"
"Nakufanya wafanyakazi wake wote wamshangae uku wakiwa wanaamini amefanya kwichikwichi na yule manzi kule kwenye gari "
"Akaondoka zake nakuacha vijana wake waendelee kupigika"
"Daah uyu boss sasa hii sio poa bana atakujaje kila siku kufanyia us*ng* wake uku ajui uku ni eneo la kazi"
"Weeh acha kubwabwaja uwezi jua wengine wanafanya kwa mambo yao uwezi jua"
"Wewe ujiulizi kila kukicha anakuja na demu mpya unaweza kuta mganga wake ndio amempa sharti ilo apate tenda"
"Wewe unafikiria mtu akupe tenda ya kusimamia gorofa lake hadi liishe pasipo kuja hata siku moja kucheki wewe ni nani?
"Hata kama akiwa Enginier sio kiivyo makanda wangu uyu atakua na lake jambn bana"
"Daah ila lisemalo lipo maana uyu jamaa kila siku anakuja na mwanamke mpya mwembamba, mnene, mfupi, mweusi, mweupe , na arudi demu kubabake walai"
"Tukafika nyumbani tukashuka mama akiwa anatokea tu ivi mlangoni aliponiona akanikimbilia uku machozi yakimtoka nakunifanya nami nianze kulia"
"Hance mwanangu ulikua wapi umenifanya usiku silali nakuwaza mwanangu"
"Wakati akiwa amenikumbatia uku Aurelia ,Baba, na Moses wakiwa wanatuangalia"
"Mama akanishika mkono nakuona mchubuko kwenye jicho"
"Ile akiwa anataka kuniuliza nimefanyaje akaona alama ya sindano kwenye mkono nakuuliza...........ITAENDELEA AAA!
Usikose kufuatilia Sehemu ya 14 Kujua kilichoendelea Mobhai.blogspot.com WEKA TANGAZO

"Ile akiwa anataka kuniuliza nimefanyaje akaona alama ya sindano kwenye mkono nakuuliza...........ITAENDELEA

0 maoni: