Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga
WEKA TANGAZO
1.hujui jukumu lako au daraka lako kama mwanaume,:
2.huna mapenzi na huyo mkeo au mpenzio:
3.huna feature naye (mpenzi,mchumba)
N:B siongelei wale wanawake wenye tabia za waziwazi za kuchuna wanaume nawaongelea wanaume ambao hawapendi na wanaona ni usumbufu kuwahudumia wake au wapenzi wao au hata wanatamani wake au wapenzi wao wawe na kazi pia ili waweze kujihudumia wao wenyewe.maanake kuna wanaume wengine analalamika live kabisa kwa wenzie nyie jamani mi mke wangu/mpenzi wangu anaomba hela huyo au yaani ye kila siku kuomba omba t tu hivi anajua uchungu wa kutafuta hela huyu?
wengine mnasemaje?
WEKA TANGAZO
Wana mmu mwenzenu leo ninalo hili,wimbi la matukio ya wanaume wengi
ambao kutwa hawaishi kulalamika kuwa wanapigwa mizinga na wake au
wapenzi wao limezidi kuongezeka.
Jamani ukweli ni kwamba ukikuta wewe ni mwanaume na una umia sana kumpa
mkeo au mpenzio pesa kwa kupenda au hata kwa kuombwa huenda ukawa na
matatizo haya matatu au mojawapo:
1.hujui jukumu lako au daraka lako kama mwanaume,:
kwani kiasili mwanaume alipewa jukumu la kumtunza mke wake na ndio maana
mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho na si mwanamke kwa hiyo wewe kama
mwanaume huna budi kumtunza mkeo kwa kila kitu tena bila malalamishi.
2.huna mapenzi na huyo mkeo au mpenzio:
Jamani kiukweli ukimpenda mtu unawiwa kumfanyia mambo mazuri yaani huoni
haja ya umpendaye kuteseka ilhali wewe upon na uwezo wa kumsaidia
upo,kwa hiyo ukijikuta unalalamika unapigwa mizinga wakati mpenzio
anakuomba hata pesa ya mtaji labda au hata ana shida Fulani ya pesa jua
huna mapenzi naye,pengine umelzimishwa kuwa naye au kuna hali
zimekulazimu kuwa naye au umekuwa naye tu kwa sababu wote uliokuwa
unawataka hakuna hata mmoja aliyekukubali ila huyo kwa hiyo unahisi
hasira kumhudumia unaona mzigo mkubwa mno.
3.huna feature naye (mpenzi,mchumba)
Uko naye kwa ajili ya kupoteza muda huna malengo naye kwa hapo
baadaye,yaani you hit and run na kwa hivyo swala la kumhudumia au kumpa
pesa kwako ni kero na shida tupu.
Mwanaume kuhudumia bwanah,hivi huoni raha kujua kuwa unayategemeza
maisha ya umpendaye,hujisikii vizuri?hujioni mwanaume wa shoka?

0 maoni: