MADHARA YA KUBANDIKA KUCHA . KAMA UJUI BOFYA HAPA KUJUA

WEKA TANGAZO
Msichana Sarah Greenaway mwenye umri wa miaka 17 amekosa kidole chake baada ya kutumia gundi ya kugandishia kucha bandia.



Kidole cha dada huyo kilianza kubadilika kuwa bluu na baadae njano muda fulani baada ya kuweka gundi hiyo.

Alikimbizwa hospitali na kufanyiwa upasuaji ambao ulimghalimu kidole chake huko kusini mwa Wales, Uingereza.
Jamani uangalifu kwenye utumizi wa vipodozi muhimu.





WEKA TANGAZO

0 maoni: