STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE JR NAMBA: 0658,0765,270133 SEHEMU: I6

WEKA TANGAZO

Mustapha akiwa ajui kinachoendelea yule mwanamke akaichukua ile pochi nakuificha kwenye maziwa"
"Akajifanya anajazba na uku akiwa anamporomoshea Mustapha matusi akavaa viatu vyake na kuondoka zake"
"Mustapha akiwa anamawazo mengi baada ya kugonganisha magari gafla mke wake akapiga simu"
"Trrh! Trrh! Trrh!
Hallow! Piga badae niko ofisini"
"Akapokea simu nakumjibu haraka haraka na kukata"
** * Yule mwanamke baada ya kufanikiwa kuiba pochi ya Mustapha akaenda kwenye bar fulani iliyoko karibu na pale alipotoka"
"Akiwa mwenye furaha uku mapigo ya moyo yakiwa yanaenda kasi!
"Habari yako dada!
Salama nikuhudumie nini?
"Asante wala usijali eti chooni ni wapi nimebanwa na mkojo!
"Pita ivi utakuta mlango ingia hapo utaona vyoo kwa mbele yako"
"Haraka! Haraka akutaka kuchelewesha mda akaingia chooni nakuanza kuifungua ile pochi"
"Akafungua zipu ya kwanza akakuta makaratasi tu akua na haja nayo sana akayatupa hapo chini"
"Zipu ya pili ilikua na kama Dollah 500 ivi za kimarekani"
"Akaanza kufurahia uku akisema Mshenzi yule tu hapa nikubadili line chezea mjini anajifanya zipu yake inajua kucheza sasa"
"Sasa amekutana na mjanja wa mjini ovyooh!
"Akachukua yale makaratasi nakurudishia kwenye pochi"
"Asante dada nashukuru akaondoka"
* * * * Wewe Hance kwanini unanikanyaga kanyaga kila saa uwezi kutuliza hiyo miguu yako?
"Nikashtuka sana uku nikiwa namtazama Aurelia akiwa anacheka nakunifanya nipate aibu mbele zake"
"Basi tukamaliza kula nikatoka nje kidogo wakati narudi nikamkuta mama pamoja na Aurelia wakiwa wanazungumza japo fulani ivi"
"Nilipofika tu gafla wakanyamaza wakawa wananitazama!
"Machale yakanicheza awa watakua walikua wananisema tu"
"Mama ngoja nimsindikize kidogo Moses anataka kuondoka?
"Sawa usichelewe kurudi sinajua unatakiwa kumsindikiza mgeni wako?
"Natambua hilo mama! Nikamtazama Aurelia na kupiga busu la mbalimbali pasipo mama kuona"

* * * Daah mwanangu yule binti mzuri walai kama ni mimi naoa kabisa!
"Tulia wewe kijana mambo mazuri ayataki haraka kaka"
"Awa mabinti kutoka pande za Mbeya ni wazuri kama Warangi eeh!
"Inategemea ila Wanyakyusa wanakuaga na mvuto fulani ukicheki na ule weusi wao wa mng'ao utawapenda"
"Kwani Aurelia ni mnyakyusa?
"Nafikiri atakua mnyakyusa maana haya majina ya akina Mwaisabila ni kutoka uko mbeya"
"Vipi sasa jana ulidadavua mtoto
"Acha ujinga yani kijana mtu nimeanza nae tu jana mausiano iyoiyo siku ni mdadavu siatakuona mwenye uchu sana"
"Daah mwanangu kitu umelala nacho kabisa ukashindwa?
"Sikiliza Moses msichana anaweza akakupima imani na uvumilivu wako kujua je?
"Unamalengo nae au unataka tu kumvua chupi upige alafu upite ivi mimi nimempenda bana"
"Sina papara mambo mazuri hayataki haraka unajua boyz wengi wamekua na papara kama paka wa bar"
"Poa kamanda wangu mzee wa kupetipeti na malavidavi"
"Acha uduanzi sasa ngoja nirudie hapa basi kama vipi badae?
"Poa afande wangu!
* * * Hance mbona umekaa uko ivyo tena yani mgeni wako alikua aondoke?
"Sasa mama ngoja nimsindikize basi!
"Sawa wakaagana pale tukaanza safari taratibu tukiwa tunasubiria gari la kuja kumchukua"
"Hey beibe mbona kama umekosa furaha?
"Hamna nipo sawa wewe unajua kabisa jana sijalala nyumbani alafu unaenda chelewa uko?
"Am sory beibe nimejua tu umejisikia vibaya nisamehe mpenzi nakupenda"
"Nikajikuta namshika mikono uku tukiwa tunatazamana tukajikuta tayari tukiwatunapeana madenda!
"Hance nakupenda mpenzi sitamani hata kwenda nyumbani wewe ni mwanaume mwenye hekima sana sijawai ambiwa neno!"..............ITAENDELEAAAAAAA!!! WEKA TANGAZO

0 maoni: