Miss Atupia Picha Za Nusu Utupu Instagram, Ni Rehema Fabian Aambulia Matusi! Jionee Hapa

WEKA TANGAZO
MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katika mtandao wa Instagram
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe..
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.
-umbeamtupu
WEKA TANGAZO

0 maoni: