Epuka Vitu Hivi Unapoamua Kuwa na Mchepuko ambao ni Mume wa Mtu ama Mke wa Mtu
WEKA TANGAZO
5. Tafuta muda wa faragha ambao sio questionable for both of you.
Ku date mke wa mtu siyo jambo zuri, na ukiweza kuepuka ni vyema ukafanya
hivyo. Hivi karibuni rafiki yangu wa karibu amekumbwa na balaa kubwa
kutokana na kitendo hiki. Pamoja na kwamba si jambo zuri lakini ukweli
ni kwamba kwa sababu tofauti totauti watu wataendelea ku date wake za
watu. Offcourse hata wanawake wengine kutokana na sababu mbalimbali
kwenye ndoa zao wataendelea kuchepuka. hivyo mada hii inalenga
kuwasaidia wote wanaochepuka wake kwa waume wasikumbwe na zahama kama
iliyomkumba rafiki yangu. Kwa experience yangu zifuatzo ni rules ambazo
wachepukaji wanatakiwa ku zi observe.
1. Jua kuwa mwanamke au mwanamme anayechepuka siyo mwaminifu. Hivyo
anaweza kuwa na mchepuko zaidi yako. That is you are not alone. Hivyo
always jaribuni kutumia kinga. Hata kama hana mchepuko mwingine
possibility ni kubwa kuwa mme au mke wake pia ana mchepuko. So kutumia
kinga ni jambo jema.
2. Hata kama mkiamua kuplay bare inabidi mjitahidi kuzuia mimba. Kumpa
mimba mke wa mtu ni jambo baya ambalo linaweza kutokea na kuharibu
kabisa maisha ya mmoja wenu au wote.
3. Avoid texting. Sms za ma lavi davi ni nzuri katika kuhamasishana na
ku furahia pale mnapokuwa mbali. Lakini linapokuja swala la mume au mke
wa mtu meseji ni njia mbaya kabisa ya mawasiliano. Usipende kabisa na
ikiwezekana acha sms kabisa. Pale inapobidi kuwasiliana tumieni voice.
Piga simu. Watu wengi wamekamatwa kwa sababu ya sms.
4. Msiweke utamaduni wa kukutana. Namaanisha msikutane sehemu na siku
zinazofanana. E.g kila jumatano au jmosi sehemu A. Msiwe na kawaida.
Badilisheni hotel, siku na wakati as many times as possible. Msiwe na
kawaida.
5. Tafuta muda wa faragha ambao sio questionable for both of you.
6. Msipende kutumia usafiri mmoja na kukaa sehemu moja. Kutaneni eneo la
tukio na kila mmoja aende kivyake. Msipende kukaa pamoja eneo la wazi
kama bar. Huwezi kujua mtu aweza kuwaona. Hata kama mnakunywa nyweeni
chumbani.
7. Hata kama mnapendana na ku enjoy kiasi gani kamwe msitelekezw wenza
wenu au kufanya wenza wenu wahisi kuwa kuna kitu kinaendelea. Kama lara1
anavyosemma ni lazima uonyeshe high degree ya unafiki.
8. Mchepuko ni siri ya watu wawili. Never intoduce or let your best
friends, shoga etc know about it. Hata rafiki zako wa karibu vipi
hawatakiwi kujua kama una chepuka.
WEKA TANGAZO
0 maoni: