Baadhi ya Wanawake Sijui Wanachukulia Vipi Maisha..Embu Ona Huyu
WEKA TANGAZO
Kuna wanawake sijui wanafikiria vipi maisha.
Nilikuwa na girlfriend ambaye tulidumu
karibia miaka minne, tulikua tunaenda vizuri na mipango mingi, ila
akaanza kubadilika alivyokaribia kumaliza chuo, akawa na visa vingi na
kuanza kuwa na marafiki wa ajabu ajabu wa kiume.
Kuna siku alikuja kunitembelea wakati
anaondoka nikataka nimsindikize lakini akawa anakataa, nikamwacha
akaondoka lakini baada ya muda mfupi nikaelekea mwelekeo aliokwenda,
nikakuta kuna gari inamsubiri ndani kunamshikaji wakaondoka.
Nikampigia simu akapinga lakini nilivyompa details za gari ilivyo akakubali lakini akajitetea ni mshikaji.
Baada ya ku-argue kidogo akazima simu akaja kunipigia kesho yake, kunipa taarifa kuwa yule ni mtu wake mpya na tuachane.
Sababu aliyotoa kipindi kile ni kwamba
mimi ni MPOLE sana (mimi ni mtu mwenye introvert personality), kwa hiyo
akadai amepata mtu aliyechangamka na mjanja.
Ni kama miaka mitatu na miezi nane imepita, na mimi nilitulia nikajipanga na sasa nipo mbali kidogo na bongo.
Ila sasa hivi kuna kama mwezi mmoja
nashangaa mtu ambaye nilishamsahau ananitafuta kwa nguvu mno, nmekuwa
nikipata msg zake whatsapp, facebook, viber, sms za kawaida na amekuwa
mpaka anamtumia shangazi yake kunitafuta, imefikia mpaka sasa hivi
ananitumia picha zake za utupu( enzi hizo nlikuwa namsifia ana umbo
zuri).
Nimeandika huu uzi sio kuomba ushauri,
maana maamuzi ninayo japo na usenior bachelor wangu sirudi nyuma, ila ni
kuwambia mademu hasa wadogo ambao mpo hapa ukiwa kwenye relationship,
uwe mvumilivu na uangalie mambo kwa jicho la tatu, maana unamkimbia mtu
kwa sababu ni mpole hana swaga. Lakini baadae (unaona 30 inakaribia bila
bila) unarudi tena kwa kujidhalilisha na kutuma picha za uchi na
kujitetea ulikuwa utoto ni noma mbaya.
WEKA TANGAZO
0 maoni: