Wadada mnaopenda Kuvaa Mawigi Katika Vichwa Vyenu, Hizi ndo athari zake, Tazama Picha Hapa
WEKA TANGAZO
Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni.
WEKA TANGAZO
Kwa Wale Wadada Wa Mjini
Baadhi ya wanawake wengi
wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka
wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo kujua mazara yake.
Watafiti na Madaktari
kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo zinazotumiwa huwa
zinakemikali ambayo zinaleta adhari kubwa katika mwili wa mwanadamu
hususani kansa.
Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni.
-swahilitz
0 maoni: