BABY MADAHA, KUFUNGA NDOA NA MENEJA WAKE MWEZI NOVEMBA.
WEKA TANGAZO
MSANII wa
muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki
wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini Nairobi.
Akizungumza
na mapaparazi wetu, Meneja wa Baby Madaha, Joe alithitisha mipango hiyo
na akasema sasa wanafanya kazi nyingi za muziki mpaka zifike nyimbo 20
ambapo baada ya kuoana zitaanza kutoka mojamoja kwa muda wa miaka minne.
“Ni kweli
tumepanga kuoana, kikubwa ninaandaa nyimbo nyingi ili baada ya ndoa
nitasimama muziki na badala yake nitakuwa naachia nyimbo tu,” alisema
Baby anayetamba na Wimbo wa Nawaponda.
WEKA TANGAZO
0 maoni: