UKIFANYA HAYA LAZIMA MPENZI WAKO ATULIE . USITUMIE MABAVU
WEKA TANGAZO
WEKA TANGAZO
Kuna mambo fulani madogo huwa
tunakosea sana tunapokuwa kwenye mapenzi labda pengine ni kutofahamu au
labda hata ni makusudi. Kuna mambo tunayafanya ambayo bila kujua huleta
matokeo ambayo hatuja ya tarajia upande wa pili kwa wenza wetu. haya
hapa:
1) Ili mweza wako atulie hakikisha
unajua nini hapendi: yani ni hivi hakikisha kitu ambacho hutaki
akufanyie vilivile na wewe usifanye kitu ambacho hapendi
2) Uongo: uongo ni mbaya sana kwani
unapomdanga mara kwa mara na kigundua anaweza kupoteza uaminifu kwako na
pia inaweza kumfanya asitulie atoke nje, kutafuta njia mbadala
3) Mwache ajisikie na yeye ameshinda
wakati mwengine, kwa mfano mkiwa mnabishana kitu au kugombana jaribu
kuwa mdogo ili ajione na yeye ni mshindi, ila usifanye hivyo mara zote
kwani atazoea.
4) Penda sana ndugu zake, pia jichanganye kwenye mahafali ya kifamilia, misiba hata harusi muenyeshe.
5) Muulize nini anataka haswa mkiwa kwenye kufanya mapenzi, muulize usiogope kuwa huru kabisa
6) Usimuite jina lake mpe jina
lingine la kimapenzi, wala sio bby au swt kwani yameshazoeleka sana na
pia labda ameshaitwa sana hayo majina, tafuta hata lingine kama Mumy, My
lady, princess na mengine mengi mazuri.
7) Mtoe out siku moja moja, nenda nae dinner au hata ice creem
8) Na kingine Mkumbushe Kusali kila mara kabla ya kulala na kuamka
Kazi kwako fanya hayo utapata majibu
0 maoni: