STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE JR NAMBA: 0658,0765,270133 SEHEMU: 21

WEKA TANGAZO

Ndio hata nami nampenda kaka Robsoni ila sio kama Hance wangu"
"Nikajisikia faraja sana kusikia ivyo kwa aibu nikajifanya kama sijasikia chochote uku Beatrice akitazama!
"Weeh jishaue tu ukute Hance mwenyewe hata akupendi?
"Looh ananipenda hubby wangu nauhakika asilimia zote!
"Haya bana kheri ya ninyi mnaopendwa?
"Eti si unanipenda mme wangu?
"Mmmh sio nakupenda tu pia nafuraha kua nawe Aurelia?
"Sasa nataka kuondoka niitie Rabson ni muage?
"Mmmh achana nae bana wanini?
"Hey Aurelia mwenzako si anataka kuaga?
"Dada!
"Rabson akaja uku akiwa anachezea simu!
"Hey ndio unaondoka?
"Ndio braza siku nyingine tena!
"Poa basi nikutakie safari njema!
"Nashukuru kaka nawe pia ubaki salama!
"Oky!
"Vipi unaweza nipatia namba zako?
"Poa basi utachukua kwa dogo akuna tatizo"
"Poa asante!
"Sasa Shem wangu ndio lini tena uku?
"Ha ha ha ha Sijajua tuombe Mungu atupe uzima na kibali cha kuja tena uku!
"Haya jamani hata siwezi kukusindikiza niko jikoni
"Wala usijali mamy ubarikiwe atanisindikiza tu Aurelia?
"Safari njema Hance ukifika unijuze!
"Weeh ebu koma akujuze wewe ni nani yake?
"Ha ha ha ha ama kweli mdogo wangu umependa Hance bahati hiyo shemu!
"Asante ha ha ha anawivu huyu mdogo wako!
"Umeonaeeh hata kufa na presha weeh mwache tu ajifanye kupagawa!

* * * * * Baada ya Rose kuambiwa amepata maambukizi ya Ukimwi na Mustapha aliamua kwenda Hospital kupima kupata udhibitizo kamili kutoka kwa Doctor!
"Hee! habari yako dada!
"Salama Doctor !
"Naimani upo tayari kupokea majibu yako!
"Ndio doctor! jasho lilikua linamtoka Rose mithili ya mtu alifunikwa na tanuru la Moto!
"Calm down binti usiogope ivi ni vipimo tu wala usipoteza maisha!
"Hapana Doctor najua mimi ni mgonjwa tayari uku machozi yakimtoka nimekuja tu hapa kudhibitisha na kupata ushauri kutoka kwenu!
"Sikiliza Rose kuathirika sio ndio kukosa tumaini la kuishi tena!
"Hapana unaweza ukaendelea na maisha yako mengine kama kawaida"
"Hapa bado tunasubiria majibu sahihi!
"Sasa wewe unahofu umeambukiwa kwa sababu zipi?
"Dr nimefanya mapenzi na mwathirika mimi tayari ni mfu aliye hai!
"Sikiliza Rose kufanya mapenzi na mwathirika sio ndio nawe utakua mwathirika!
"Hapana kuna vizuizi vingi katika mwili wa mwanadamu vinaweza kukufanya usipate maambukizi!
"Kuna Antigen, kuna Blood group! Ivi vinaweza zui maambukizi ya Virusi vya Ukimwi!
"Pia maambukizi yanasababishwa na michubuano katika tendo la ndoa!
"Rose akapata nguvu uku akiwa anamsikiliza Doctor kwa Makini"
"Sasa naona majibu yetu yako tayari!
Je! Endapo utakua umeambukizwa utawezaje? Kuisaidia jamii na watu wanaokuzunguka wasipate maambukizi?
"Na pia kama wewe utakua ni mzima utawezaje kujikinga usipate maambukizi?
"Majibu yetu hapa yanaonesha wewe ni...........ITAENDELEAAAAAAAAAA!!
WEKA TANGAZO

0 maoni: