RAYUU "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA NA KUNIWEKA NDANI"
WEKA TANGAZO
Staa katika
tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka
maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye
awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa
yanamuelemea na kila aonapo watu walioolewe jinsi wanavyoishi na wanaume
zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo.
Akifunguka
Rayuu alisema "natafuta mwanaume wa kuniweka ndaniambaye atakuwa mkweli
atanipenda kwani nimechoka maisha ya kisela nataka niwe mke halali wa
mtu tena mwanaume atakayekuja kwangu nitampenda sana"
Pia aliongezea kwa kusema "mimi ni binti mzuri tena bado mdogo hivyo maisha ya kurukaruka nimechoka"
Credit- BongoSwaggz
WEKA TANGAZO
0 maoni: