AJITUPIA RELINI NA KUJIUA KISA CHA DAIWA KUWA NI WIVU WA MAPENZI

WEKA TANGAZO

Unaposikia neno MAPENZI kaa ukijua kwamba hili neno lina uzito mkubwa sana.Kwanza niombe msamaha kwa picha ambayo wengine watapata wasiwasi kidogo ndani ya nafsi zao...Jamaaa alimpend sana mpenzi wake kiasi cha kuona maisha haya kamili bila huyo mwana mke ila kwa habari ilotufikia ni kuwa huyo jamaa alimfumania mpenzi wake ndipo alipo chukuwa huo uamuzi unaouona hapo kwenye picha 

tupendane tusitendane
WEKA TANGAZO

0 maoni: