KISA CHA KWELI KILICHONITOKEA..MASHEMEJI WENGINE NUKSI KWELI....SOMA HAPA

WEKA TANGAZO
Baada ya mke wangukunitambulisha yule shemejihisia za mapenzi zikaanzakunishika kwa kasi ya ajabu.
Nikajiapiza lazima nihakikishenampata kwa gharama yoyoteile.
Shem wangu yule kiukwelikaumbika maana guu guu hipshizoo na kwa upande waucheshi wake mimi sisemi kitu.
Basi nikaidaka namba yake nakuanza kumpa manjonjo nabaada ya muda mtoto akatiatimu na kuendana na matakwayangu yaaani kwa kifupiakasalimu amri.Akaniahidi tukutane hotel ilianipe furaha nami sikuwa na laziada zaidi ya kumpa fedha ilisiku ikifika nimkute kunakochumbani.
Siku ikafika mtoto akaniambiayuko kunako hoteli na mienikaenda na kabla ya kuingiahotel nikaona bora nipige vilobakwanza vinitoe nishai na kunipamaujasiri.
Nikavipiga weeee kisha nikaanzakuona naishiwa nguvunikamwomba twende tukajilievyetu.
Akanichukua na kunilazakitandani na akaniambiaanaenda kununua maji hotelnna kwa kuwa nilishajichokea namikonyagi nikalala nanakumbuka usiku nikaamkakumpa gemu moja tafu sana naakanisifia na tukaendelea kulala.
Asubuhi naamka niwashe taa nakwenda chooni nilishangaakuona kumbe pale hotelininililala na mke wangu.
Mke akashtuka na kusemambona umeduwaa nikakaakimya kwani nilimdanganyanaenda morogoro kikazi kwasiku moja ana nikaanza kuhisikuwa kuna ka mchezo pale.
Nimechanganyikiwa na sina chakusema maana naona wamenipawakati mgumu kwa kunitegeamtego huu.Sijui nifanyeje nimedata..i hate mashemu wote.
WEKA TANGAZO

0 maoni: