JE WAJUA MWIGIZAJI YUSUF MLELA "NATAKA MWANAMKE ALIYENIZIDI UMRI ILI MAPENZI YADUMU".. CHEKI HAPA
WEKA TANGAZO
Mwigizaji wa
filamu za Kibongo, Yusuf Mlela ametoa kioja cha aina yake baada ya
kufunguka kuwa akifika hatua ya kuingia kwenye ndoa anataka mwanamke
atakayemzidi umri.
Tofauti na
vijana wengine ambao wanapenda kuoa wake wadogo kwao, Mlela alisema
anaamini mwanamke akimzidi umri ndoa itadumu na maisha yao yatakuwa
mazuri kwani atakuwa tayari ameshakomaa kiakili na atakuwa na uwezo
mkubwa wa kuiendesha familia.
“Nahitaji
mwanamke anayenizidi umri na sitaki nimzidi mimi naamini huyo
tutaelewana na ndoa itadumu, sitaki mwanamke ninayemzidi umri mimi maana
itakuwa shida kwani sijapangilia hivyo,” alisema Mlela.
WEKA TANGAZO
0 maoni: