Diva Aweka Picha Mtandaoni Akiliwa Denda Na Mwanaume Mwingine, Kisha Kusema Baby Wake GK Siyo Mswahili...!! Tazama Picha Hiyo Hapa Like · Comment · Send · Share
WEKA TANGAZO
Penzi
la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King
Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kwenye mtego baada
ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na
mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Kwa
kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha
hiyo;
"handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol"
...Tunasubiri kusikia upande wa GK.......Dah!! ila huyu mdada PRESHAPRESHA
WEKA TANGAZO
0 maoni: