SISIKII RAHA NINAPOFANYA MAPENZI- MAUMBILE YANGU YANAKUWA MAKAVU SANA- NIFANYAJE?

WEKA TANGAZO
hellow dada yangu  nina matatizo naomba unisaidie sababu napata tabu saanaa... hua napita sana ktk blog yako  ndo nikaipata e-mail yako ndo nimeamua nikujushe hapa ili nipate ufumbuzi ktk shida yangu..
mimi ninamchumba wangu tunapendana ssanna. Tatizo tunapofanya mapenzi  hua napata maumivu makali sanna sehemu  ya uke wangu inakua kavu ssanna  hata yeye mchumba wangu hua ananiambia hajiskii raha  

sasa dada yangu na washauri wengine naombeni mniambie  nifanyaje ili uke wangu uwe na unato ili mie nifurahie mapenzi na mpenzi wangu nae afurahie tendo hilo???

ninapo pata maumivu basi hua mchumba wangu anakataa kuendelea na tendo hilio coz hua ananiambia hawezi kuendelea wakati mimi naumia, ananihurumia sana


mapenzi ni starehe  hivyo ili kumridhisha huwa ananiomba nampizishe na mkono  basi hua namchezea na mkono wangu mpaka anapiz sasa hio kweli si hatari ssanna au haina athari yoyote baadae??

ntakushkuru ssanna dada yangu kwa ushauri utakonipa
WEKA TANGAZO

0 maoni: