Akina Dada Msijidanganye la Sivyo Mtaishiwa Kufunuliwa tu Mpaka Akili ziwakae Sawa

WEKA TANGAZO
Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.

Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.

Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je ww ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumban?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome ww ni handsome?

Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia.

Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

KWAHERINI
WEKA TANGAZO

0 maoni: