STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE JR NAMBA: 0658,0765,270133 SEHEMU: 7

WEKA TANGAZO Hance nimekua nikizungumza sana na Junior!anielewi mimi nadhani sio chaguo sahihi kwangu!
"Hey Aurelia kwanini unasema ivyo unapaswa kuomba Mungu sio unakata tamaa ivi!
"Aurelia akanisogelea uku machozi yakimtirirhka nakuanza kutoa maneno mazito yenye uchungu moyoni mwake!
"Hance Junior amekua akinifanyia vituko mara kwa mara ebu fikiria maneno gani yale anatoa pale mbele yako!
"Hapana najua anipendi kama angekua ananipenda angenieshimu na kunijali sio kila siku kunidhalilisha mbele za watu!

"Hey stop cry hayo yataisha tu usijali unajua ni wanaume wachache sana wanajua neno wat iz love?
"Aurelia natambua unamwonesha upendo sana ndio maana anafanya ivi nataka nikwambie neno moja ukikutana nae tena mwambie!
"Kama unanipenda usicheze na moyo wangu mimi ni mimi uwezi pata tena kama mimi!
"Aurelia akanitazama kwa makini uku akiwa ananiangalia kwa hisia kali sana nami nikajikuta na mtazama kimahaba!

"Hance nikikutazama machoni unaonekana ni mwanaume mwenye ukarimu sana unamaneno mazuri yenye kuonyesha upendo!
"Ha ha ha ha asante umenifanya nimejisikia furaha hata nawe ni msichana wa aina yake mwenye upendo, kujali, na heshma pia!
Maana ni wasichana wachache sana hapa duniani wenye moyo kama wako!
"Nikikutaza ulivyo mrembo napata mshangao sana moyoni mwangu imekuaje uko hapa na mimi kijana ambaye siko nadhifu kama wengine!
"Hance usiseme ivyo unajua kinacho fanya mtu anakua wapekee ni nafsi yake!
"Nafsi ndio inaamuru matendo yote mazuri na mabaya katika mwili wa binadamu na moyo ndio unapeleka taarifa kama nafsi yangu isingekua na upendo kwako wala nisingemwambia Junior arudishe gari tuje kukucheki!

"Aaaah Aurelia sijui niseme nini kwako hakika umeongea maneno yenye kugusa moyo wangu kabisa!
"Nikweli kabisa ulicho kisema nafsi ndio tabia ya mtu ukiwa na nafsi nzuri lazima utakua na moyo mzuri"
"Na ivyo ivyo ukiwa na nafsi mbaya lazima uwe na moyo mbaya!
"Aurelia ni usiku wa saa nne utaendaje nyumbani?
"Usijali Hance nimewasiliana na Mom nimemwambia nitalala kwa rafiki yangu so nitabaki nawe hapa hospital!

Nikashtuka sana kusikia habari zile nikajitazama jinsi nilivyokua nimevaa nikawa naona adi aibu kumwangalia Aurelia machoni!
"Mara Dr akaja na akanipima na kunitundikia drip!
"Wakati Dr anatoka nje Aurelia akamfata uku akimwita Dr! Dr! Dr!
"Baada ya kama dakika kumi Aurelia akarudi uku akiwa ananitazama nakutabasamu"
"Mbona unafura ivi nini tena?
"Nimefurahi maana Dr kaniambia uko salama hakuna tatizo tungeweza kuondoka lakini ameona upate drip mbili maana mwili wako unaonekana hauna nguvu!
"Aurelia ebu sogea hapa karibu yangu nikamshika mikono yake uku nikimtazama machoni mwake taratibu machozi ya upendo kutoka moyoni mwangu yakaanza nitoka nikamwambia..............ITAENDELEAAA!! WEKA TANGAZO

0 maoni: