MAPENZI NI UBUNIFU...MAPENZI HAYANA UCHAFU....MAPENZI YANAHITAJI MAANDALIZI INGAWA WENGINE MNAWAPA SHIDA SANA WAPENZI WENU KUWAANDAA MAANA HAMUANDALIKI

WEKA TANGAZO

SAMAHANI KWA WALE WAHAFIDHINA WATAKAONICHUKIA KWA STATUS HII..NATANGULIZA POLE ZA DHATI:
Mapenzi ni Ubunifu...Mapenzi hayana Uchafu....Mapenzi yanahitaji Maandalizi ingawa wengine mnawapa shida sana Wapenzi wenu KUWAANDAA maana HAMUANDALIKI.
Unaweza kutamani kumuandaa vizuri kwa kushughulikia kila eneo linaloweza kufikiwa na Maandalizi lakini ukajikuta umesita baada ya kukutana na Taa za Njano na Nyekundu njiani ambazo zitakufanya uwaze sana kama maandalizi yaendelee au uache tu.
Kama kwenye Masikio tu umekutana na Nta Lita 2 kama vile ana miradi ya kuuza asali Tabora Vijijini....Shingo ina chumvi kama mfanyakazi wa uvinza...Kwapa linavibrate kwa harufu aina 4 zisizoeleweka...halafu mtu anakwambia BABY BWANAAA BADO NA HUKU(kwa sauti ya Puani)...Mmmh
Juu tu kuna majanga ya kitaifa tukifunua boneti si tutakutana na Maombolezo ya Mashujaa waliokufa vita ya Majimaji??Hapana kwakweli.
Ukitaka ufaidi Maandalizi kamili na ufaidi Mapenzi KUWA MSAFI.
Natumaini nimesomeka.Kwa Hisani ya wazee wa Maandalizi.
WEKA TANGAZO

0 maoni: