JE UNAJUA ATHARI ZA SIGARA??HAYA NDIO MAZARA YA KUVUTA SIGARA, SOMA HAPA

WEKA TANGAZO (picha kushoto ni pafu za mvuta sigara kulia asie vuta)

Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako. Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza utaratibu huu wakiwa wangali watoto. Wanaoendelea kuvuta sigara kwa muda mrefu hufupisha maisha yao kwa miaka 20 hadi 25. Sababu ni kuwa sigara ina kemikali zaidi ya 4,000 ambazo zina uwezo wa kudhhuru afya ya binadamu. Madhara yanayosababishwa na uvutaji sigara ni mengi na yamesambaa mwilini kote. Yafuatayo ni baadhi tu ya maradhi yatokanayo na utumiaji wa sigara.
1.Kung’oka kwa nywele
2.Magonjwa ya macho
3.Kukunjana kwa ngozi
4.Magonjwa ya masikio
5.Saratani ya ngozi
6.Magonjwa ya meno
7.Magonjwa ya mapafu
8.Mifupa
9.Ugonjwa
wa moy
10.Vidonda vya tumboni
14.Magonjwa ya ngozi
15,Upungufu wa nguvu za kiume
Je umetumia sigara kwa muda mwingi na ungepeda kutoa sumu hizo mwilini kuepuka madhara hayo?
WEKA TANGAZO

0 maoni: