Mabinti Acheni Kuwakalia uchi waume za watu..Hawa Viumbe ni Wadhaifu Sana
WEKA TANGAZO
Aibu ndo hivyo tena!
Asante kwa kuelewa. WEKA TANGAZO
Jamani inasikitisha sana, pale binti anapoamua kutafuta mazingira tu na
kuamua kumkalia uchi kwa makusudi kabisa mume wa mtu kwa lengo la
kumpata, mkasa huu umetokea nyumba ninayoishi, kuna wapangaji vyumba
vyao vipo karibu karibu, huyu mmoja ana msichana wa kazi, mwingine hana.
Huyu binti katafuta mazingira na kumkalia yule jamaa uchi kilichotokea
ni yule jamaa kujikuta anaanza kumfuatilia msichana, na hali ukizingatia
hakua hata na wazo na huyo dada na ni muda mrefu wanaishi hapo, kumbe
dada na namba ya simu alishatafuta si ndo kuanza kuchati nae oh mpenzi
sijui nini na nini.
Kindumbwe ndumbwe juzi wife wa jamaa kaona message, hapajakalika ugomvi
na nyumba nzima wamejua. Jamaa akajitetea, ''Yaani mke wangu wala siko
hivyo, na wala sina wazo na huyu mjinga, ila juzi tu nipo hapo uwani
nafua nguo zangu si ndo akanikalia uchi, then badae ananitumia message
tukachati, na wala sijui namba zangu kapata wapi''.
Aibu ndo hivyo tena!
Jamani mabinti acheni sio vizuri kumbuka hata na wewe utakuja olewa,
kama unaona mwanaume haonyeshi muda na wewe muache na sio kumfanyia
visa. Hawa viumbe 98% ni wadhaifu sana, Paja tu hoi, na nyie wanaume
ukiona binti anakukalia uchi kama umetazama kwa bahati mbaya basi
usigeuke tena potezea, hata binti atakuona una msimamo.
Asante kwa kuelewa. WEKA TANGAZO
0 maoni: