Siwapendi Mabinti Wanoohoji Ndoa, Siku Chache Baada Ya Kutongozwa!!
WEKA TANGAZO
Hivi wadau hawa mabinti sijui wameona ndo habari ya mjini au mimi nina mkosi wa kukutana nao....
unamtongoza , anakukubalia vizuri...lakini hamjapanga hata mipango ya kufunuana! Anaanza kuhoji kuhusu Kuoana
mabinti ndoa hazitafutwi kwa njia hiyo, we ngoja ngoja mambo yatajipa..yaan ifanye ndoa ikutafute , sio wewe uishikie bango!
Nawasilisha!
WEKA TANGAZO
0 maoni: