JUA JINSI YA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO NDANI YA 6 KWA 6
WEKA TANGAZO
WEKA TANGAZO
Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadh
i ya walio
kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.
Hapa nitazungumzia mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani mke na mume..
Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini baadhi ya wanawake huwa
wanashindwa kuzijua haraka mbinu za kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo...
Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni
kumvalia nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii
inaweza kuwa gauni nyepesi inayoonyesha
maumbile
yako ama siku hizi kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa
pindi unapokuwa na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na
tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo
hilo lakini wanawake ni
0 maoni: