HUYU NDIO SUPER STAR BIKIRA KUTOKA NIGERIA ALIEWAAHIDI BOKO HARAM URODA
WEKA TANGAZO
Muimbaji
wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian ambaye April mwaka huu alidai bado
ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi
atakayemnunulia mama yake ndege binafsi, amemake headlines tena kwa
kuwaahidi Boko Haram uroda watakapowaachia wasichana 300
wanaowashikilia.
“Natamani kujitoa mwenyewe kwao,” alisema Adokiye Kyrian kwenye mahojiano na gazeti la Vanguard.
“Wana umri kati ya miaka 12 na 15.
Mimi ni mkubwa na mzoefu kidogo. Hata kama nikitembea na wanaume 10
hadi 12 kila siku, sijali. Waachieni wasichana hawa na warudi kwa wazazi
wao,” alisema.
WEKA TANGAZO
0 maoni: