WA JUA MBINU ZA KUAMSHA NGUVU ZA KIUME MARADUFU
WEKA TANGAZO
Suala
la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa
sasa,kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya duniani
unaonesha kuwa zaidi ya asilimia themanini ya wanawake hawatoshelezwi
kimapenzi.
Moja
ya sababu kubwa inayochangia kutotoshelezwa huku kwa hawa wadada ni
tatizo la upungufu wa uwezo wa mwanaume kumnyuka mwanamke kisawasawa ili
kumkata nyege kabisa kwa kufika kileleni.
Wanaume
wengi wa sasa wamekuwa wabovu kabisa katika kusimamisha mashine zao
kiasi cha kuwa hata mdada awe mkali na mwenye mvuto namna gani
amejitahidi sana kumtandika basi bao tatu kisha kitu inalala
kabisaaa,tena kila bao huchukua dakika mbili tayari amekojoaLoo!
Zifuatazo ni njia chache na salama kabisa za kuamsha nguvu za kiume maradufu.
*AINA ZA VYAKULA
Tusidanganyane
chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni
vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali
basi penda sana kula ugali wa dona na sio sembe kwani sembe huwa haina
kiini cha njano chenye protini na wanga ambacho ni silaha sana katika
kuutia nguvu uume na mwili kwa ujumla.
Matunda
pia kama matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga nguvu za
kiume.Vyakula vingine ni kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima uwe na
utamaduni wa kutumia aina hii ya vyakula katika maisha yako ya kila
siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio unajifanya kufakamia mamihogo
loo siku hiyo!
*MAZOEZI
Mazoezi
ya viungo ni muhimu sana kwani hufanya mwili uwe fit na hivyo
huimarisha hata uume na kuufanya usilale kirahisi pale unapokuwa katika
show na mrembo. Push up, kukimbia, kurukaruka na mazoezi mengine mengi
ni muhimu sana.
*ACHANA NA UNYWAJI WA POMBE ULIOPITA KIASI
Pombe
ni hatari sana na inadhoofisha sana nguvu za kiume hivyo chunga sana
unywaji wa pombe uliopitiliza kwani ipo siku utajikuta unamwangalia tu
mkeo kama dada ako vile wakati yeye nyege zimempanda balaa,matokeo yake
itabidi achapwe na njemba zinazojua shughuli huko nje.
*ACHANA NA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Hizi
dawa ni hatari sana hasahasa zile za hospitali kwani maranyingi
zimetengenezwa kwa kemikali ambazo huamsha vichocheo mwili kwa muda
flani lakini baada ya muda tatizo litaongezeka maradufu kwani ni tiba kwa muda mfupi tu.
*UWE MAKINI NA UPIGAJI PUNYETO
Hii
kitu ni hatari sana hususani kwa wale wanaosugua sana mishipa ya uume
hivyo huifanya isiwe ngangari kiasi cha kukusaidia kumshughulikia vizuri
mtoto wa kike mwenye nyege zake. Hivyo kama unafanya haka ka mchezo
inabidi uwe makini sana usijejutia.
nashukuru kwa kuwa wote!!
kama kunambinu unayoifahamu waweza kuchangia hapa kwa kutoa comment yako hapa chini kwa faida ya wanaume wote !!
WEKA TANGAZO
0 maoni: