Tanzania yasema M23 walitoka Rwanda
WEKA TANGAZO
Matamshi hayo ya Waziri huyo aliyatoa wakati
alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ambapo pia
alikiri kuwa bado uhusiano wa Tanzania na Rwanda sio mzuri.
Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.
Mbali na tuhuma hizo Waziri Membe alizidi kusisitiza kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda akisema hiyo ni ripoti ya Umoja wa Mataifa.
Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda wao.
Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae. WEKA TANGAZO
Tanzania kwa mara ya Kwanza imesema inayo uhakika
kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kongo ni ni raia
Rwanda.Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Benard Membe ameliambia Bunge
la Tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi M23 walitokea nchini Rwanda.
Hii ni Mara kwanza kwa Tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa Rwanda.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo
zimepeleka majeshi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo kwa
kushirikiana na yale ya umoja wa Mataifa yaliwaondoa waasi hao DRC

0 maoni: