JE WAJUA WEMA ALIVYOONYWA JUU YA RAFIKI ZAKE KUMSALITI ....HIVI NDIVYO ALIVYOJIBU
WEKA TANGAZO
Naomba nikukumbushe kwa ufupi namna Wema alivymeet na Diamond na Usaliti ulivyoanza na alijibu nini kila aliposalitiwa na rafiki zake wa karibu;
Naomba nikukumbushe kwa ufupi namna Wema alivymeet na Diamond na Usaliti ulivyoanza na alijibu nini kila aliposalitiwa na rafiki zake wa karibu;
Hebu
tuzungumzie uhusiano wako na Diamond ambao katika mahusiano yako yote
ndio ulioandikwa zaidi kwenye magazeti, unakumbuka mlikutana wapi?Mi
na Diamond tuliwahi kukutana mara moja tu Billcanaz na hatukuwahi
kusalimiana kabla ya kuanza uhusiano lakini tulikuwa tunaangalia sana,
so nakumbuka alikuwa yupo smoking room kwahiyo tukawa tumepeana migongo,
nilikuwa na rafiki zangu wawili. Nikamuona akaniona yeye alikuwa na
rafiki yake, hatujasaliamija hatujafanya chochote mimi nimechukua
vinywaji tukatoka nje na marafiki zangu tumesimama hapo nje nikawa
naambiwa ‘yule ndio ameimba Kamwambie’ kipindi hicho nilikuwa namuona wa
ajabu sana ila tu alijiseksisha kiasi fulani (kicheko kirefu).
WEKA TANGAZO
0 maoni: