STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE JR NAMBA: 0658,0765, 270133 SEHEMU : 6
WEKA TANGAZO
Nikabaki nikiwa namtazama tu dada yake Aurelia machoni!
"Akaona aibu akainama nakusema jamani twendeni basi uko hospital mbona tunashangaana!
"Wakanibeba nakunipakia kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda hospital ndani ya gari Aurelia alikua ananitazama sana!
"Uku pia akimtazama dada yake kwa umakini kama vije anatathimini jambo fulani kati yetu
"Tukafika hospital nikapewa matibabu na Dr kuniambia nipumzike kwenye kitanda cha wa gonjwa!
"Hance sasa hapa naweza kua nafuraha kidogo maana umeshapata matibabu naimani hakuna madhara mengine yatajitokeza!
"Vipi ulikula mchana?
"Nikashindwa kujibu uku nikawa namtazama machoni!
"Kimoyoni najisemea angejua tangu asubuhi sijala chochote zaidi ya ile juice aliyonipatia"
"Hance nakuuliza ulikula mchana? Mbona unijibu unanitazama tu wewe ujala chochote ndio maana unaonekana umelegea sana"
Dada yake akiwa pembeni anaongea na simu akutaka kua karibu yangu maana anajua namfahamu fika kwani ndio yule binti aliyekua na boss wangu Mustapha na kusababisha nipigwe kofi"
"Hance ngoja nikakuchukulie kitu cha kula upate nguvu sawa usijali tukn pamoja nakuja saivi!
"Sawa ubarikiwe kua mwangalifu uko!
"Asante usiofu nawe uwe mwangalifu angalia usije toka nje mwenyewe ukaanguka!
Basi kipindi Aurelia anatoka nje dada yake nae akaniaga!
"Hance pole sana nami nataka niondoke kuna mtu ameniita!
"Nitafanya mawasiliano na Aurelia nijue unaendeleaje kwa heri!
"Alikua anaona hata aibu kunitazama machoni kwa ajili anajua fahamu kila kitu kuhusu yeye"
"Nikabaki pale kitandani nikiwa nawaza itakuaje gharama za matibabu nani atalipa?
"Wazo likanijia mbona itakua aibu endapo Aurelia atahitaji niongeze pesa kidogo ya matibabu itakuaje?
"Nami sina hata kumi mfukoni kutokana na uchovu wa kazi, njaa na maumivu nikaanza kupitiwa na usingizi!
"Kutazama saa ya ukutani ilikua inaonesha ni saa 8: 15 usiku!
Hey Hance unalala nimerudi vipi Dr amekuja kukuangalia tena?
"Hapana ulivyo ondoka tu nikawa naanza pitiwa na usingizi pole!
"Asante unajua nimewasiliana na nyumbani nimewambia nitachelewa niko na rafiki yangu hospital!
"Sawa hakutakua na tatizo lolote ukirudi nyumbani?
"Hapana usijali wewe niachie ilo mimi ebu kula kwanza upate nguvu
"Akanitolea chakula nikala uku nikiwa namtazama!
"Mbona wewe hauli?
"Nitakula hata hamu ya kula sina unajua Junior amekua akiniweka katika majaribu mengi sana!
"Pole sana ila unapaswa uzungumze nae ukiwa ukiwa unaweka tu moyoni utakua unaumia sana

"Ni kweli Hance nimekua nikizungumza nae sana ila nadhani Junior akuwa chaguo sahihi kwangu maana kama kweli ana.............ITAENDELEAAAA! !!
WEKA TANGAZO
0 maoni: