STORY: THE WORLD IZ NOT FAIR MTUNZI: CHICOLOVE JR NAMBA: 0658,0765,270133 SEHEMU : 14

WEKA TANGAZO Hance hiyo sindano yanini hapo mkönoni?
"Nikajikuta namtazama Aurelia nakushindwa kumjibu mama"
"Mama nilipata ajali nikapelekwa hospital na uyu binti kama sio yeye sijui ningekua wapi?
"Mama akawa anamtazama Aurelia uku machozi yakiwa yanamtoka"
"Akamsogelea Aurelia na kumkumbatia uku akiwa anamshukuru jinsi alivyo weza kunisaidia"
"Binti angu ubarikiwe sana unaitwa nani?
"Aurelia Robert Mwaisabula?
"Wewe ni mtoto wa Waziri mwaisabula? Au ni majina tu yamefanana!
"Ndio mama mimi ni binti wake wa mwisho"
"Baba na mama wote wakawa wanatazamana uku wakishangaa!
"Aurelia akasimulia jinsi ilivyo kuha hadi ikamfanya awe hapa na familia yetu"
"Baba pamoja na mama walimshukuru sana kwa msaada wake kwangu pasipo kujua tayari kuwa ni mkwe wao"
"Nami nikatoa asante zangu kwa Aurelia uku nikiwa namtazama kwa hisia hasi maana tayari sisi tulikua wapenzi "
"Kama ilivyo ni ngumu kuficha upendo kwenye mapenzi ya dhati nikajikuta namsogelea Aurelia nakumwambia nakupenda"
!Hance asante hata nami nafurahia kua karibu yako kwa aibu Aurelia alishindwa kusema ananipenda"
"Akawa tu ananitazama uku hisia zake zikionesha upendo kwangu mama,baba,walikua awajui chochote zaidi ya Moses ndie niliyemwambia kua mimi na Aurelia ni wapenzi"
"Mama akaenda kuandaa chakula cha mchana uku akiwa anafuraha kwa urejeo wangu nyumbani tena"
"Vijana ngoja nitoke kidogo karibu sana binti yangu jisikie furaha hapa ni nyumbani"
"Asante baba usiwe na wasiwasi nafuraha"
"Baada ya baba kutuacha nae pale sebuleni mimi Aurelia pamoja na Moses tukipiga story mbalimbali"
"Moses akawa anamwangalia sana Aurelia nakunifanya nishtuke!
"Hey! Wewe Moses mbona unamwangalia sana shemeji yako?
"Usiogope kwani vibaya kumtazama shemeji?
"Hakuna ubaya ila weeh abiria chunga mzigo wako bana"
"Aurelia akawa anacheka tu uku ananitazama jinsi nimekua mkali kwa Moses!
"Hey beibe ngoja nikabadili nguo take care nakupenda!
"Nikamsogelea nakuangalia uku na uku na kumbusu Moses akaona wivu uku akiwa amekodoa macho kama mjusi amebanwa na mlango"
"Nakupenda pia darling usichelewe siunajua mimi mwenyewe mgeni hapa?
"Usijali beibe nakuja saivi alafu wewe Moses ukae kwa adabu na shemeji wako sawa ha ha ha ha"
"Sawa bwana mdogo! Nani bwana mdogo acha dharau"
"Moses na mimi tumezoea utani sana nikaingia chumbani kwangu nakuanza kutafuta nguo nzuri ya kuvaa"
Nikatupia Jeans na fulana yangu moja kali ile mbaya nikajicheki kwenye kioo nakuona nimetokelezea"
"Mara gafla nikasikia sauti ya Mama akiniita!
"Hance! Hance! Naam mama nakuja"
"Choo tule wenzako wakungojea wewe!
"Sawa mama nakuja au endeleeni!
"Ebu kuja tushiriki pamoja acha icho unachofanya"
"Nikatoka uku nikiwa nimebeba ALbam ya picha"
"Aurelia akageuka nakujikuta ameshindwa jizuia na kusema umependeza mpenzi!
"Mama akabakia ameduwaa baada ya kusikia neno mpenzi amtazama Aurelia nami kwa kuona Aurelia ameona aibu nikapotezea kwa kusema...........ITAENDELEAAAAA WEKA TANGAZO

0 maoni: