Haniridhishi Kitandani

WEKA TANGAZO
Mimi ni mwanamke mwenye miaka Ishirini na Nne, nina mpenzi wangu ambaye amenizidi miaka 14, na nina mpenda sana. 

Tatizo ni wakati wa ku-sex. Sote tunakuwa na hamu, tunaandaana vizuri then tunaanza kungonoka lakini bao la kwanza si zaidi ya dakika 1, yuko hoi na usingizi hapo hapo hadi anakoroma. 


Huwa najitahidi kumshika shika kimahaba huku namwamsha na kumuandaa tena walau aweze kuendelea lakini wapi! Hudai kuwa amechoka. 


Pia tukibadili style nikiwa juu yeye chini anarelax yaani ananiacha mie nishugulike mwenyewe. Hadi hamu inaniishia. 


Huwa haniridhishi hata kidogo na ananiacha kwenye wakati mgumu. Naomba unishauri nini cha kufanya kwasababu nampenda sana.
WEKA TANGAZO

0 maoni: