DIAMOND MBIONI KUFANYA COLLABO NA BEYONCE ILA HAYA NDIO MAJIBU ALIYOPEWA.
WEKA TANGAZO
Hii
Habari nimeisoma katika Gazeti moja Jana kuwa Diamond anahangaika
kuwasiliana na Beyonce ili wafanye Wimbo Pamoja , Inasemekana Diamond
alitafuta Number ya Beyonce kwa bahati nzuri akaipata na kumpigia simu
na kumweleza anachotaka ila Beyonce akamkatiza na Kumuuliza huna Manager
? na Kisha kukata simu .
Kwani Maswala ya Kazi Kwake lazima yapitie kwa Manager akiwa na Maana kuwa Manager wa Diamond Awasiliane na Manager wa Beyonce ndio Waanzia hapo kama kikieleweka poa , Mhh Goodluck Brother kama ni kweli na Ufuate Protocol.

credit: swahilitz
WEKA TANGAZO
0 maoni: