unamtongoza , anakukubalia vizuri...lakini hamjapanga hata mipango ya kufunuana! Anaanza kuhoji kuhusu Kuoana
mabinti ndoa hazitafutwi kwa njia hiyo, we ngoja ngoja mambo yatajipa..yaan ifanye ndoa ikutafute , sio wewe uishikie bango!
Nawasilisha!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni