Pamoja
na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume
na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2
waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu
wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”.
Natambua kuwa ni ngumu au niseme siwanawake
wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni
zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya
dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa
zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na
goli 3 ktk mzunguuko mmoja.
Lakini
kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue
hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na ule wa
kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu ambao ni
wa kisimini.
Sehemu pekee ambayo itakufanya wewe mwanamke ufike kileleni kwa haraka ni kwa kufanyiwa kazi kwenye kisimi chako.
Kuna
wanaume ambao ni “wajanja” na hawaoni tabu kutumia ndimi zao
kuwaridhisha wapenzi wao, wengine hutumia vidole na wengi hutumia uume
wao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni