Na kwa sababu ni kweli kwamba mara baada ya kitendo hili washiriki wanakuwa wamechoka sana, je inashauriwa kufanya mambo gani, kiafya au kisaikologia, japo ndani ya nusu saa baada ya kupiga bao?
1. Kuzungumza, asantee.., nimefurahi sana, wewe ni mtaalamu aisee... sijawahi furahi namna hii.. au story ndefu zaidi.
2. Kulala, kama usingizi ukija, basi sinzia huku mwili ukiwa huru kabisa.
3. Kukumbatiana, kung'ang'aniana
4. Kupata vinywaji, maji, juice, chai, energizers,vinywaji vikali, kula matunda, ama chakula kizito
5. watch movie, au habari
6. Chumba kuwa kitulivu au kufungulia mziki,
7. Kujisomea, kitabu, gazeti
8. Kuanza kufanya mawasiliano na outsiders, kwa simu kwa mfan
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni