Wakazi wa Mtwara wamepata zali hili la kuona mastar hawa wakiwa wanaupeleka usiku wa Hills and Tie ambao umedhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom,Meneja Masoko wa Vodacon Kelvin Twissa amesema huu utakua mkoa wa Kwanza na kama Mtwara watatoa sapoti wanategemea kuifanya iwe tour.
Hii ni namba maalum kwa ajili ya wateja wa vodacom kuweza kununua tiketi kupitia M pesa kwa simu zao za mkononi ambapo kwa yeyote atakaenunua atapata punguzo la asilimia 20 namba hiyo ni 0754 980 769.
Hizi ni picha za kwenye mkutano na waandishi wa habari mchana wa leo kwenye ofisi za Vodacom zilizopo Mlimani City.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni