Naamini kutokula chakula alicho pika mke ni njia ya kumuonyesha ujafurahishwa na kitu fulani. Kuliko mwanaume kuonyesha chukizo kwa kumzaba makofi na pengine kumtukana mke wake.
Mwanaume anapenda kujaliwa, kuheshimiwa. Wanawake wapendeni waume zenu muone miujiza ndani ya majumbani mwenu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni